Utabiri: Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar haitofika Oktoba 2021

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
4,765
2,000
Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja.

ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo hapo Othman Masoud atajitoa kwenye hiyo Serikali na ACT Wazalendo kufuatia huko nyuma.

Hapo hali ya usalama itawashinda CCM kabisa.
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,755
2,000
Mwanaccm mwenzenu huyo tunamfahamu usiku wa manane kwenda kumgongea geti mtu fulani na kukaa mazungumzo ya takriban masaa matatu
Namuona makam wa kwanza wa Zanzibar Kama mwanasiasa bora tu,ila wasiwasi wangu ni viongozi toka bara so Kama akipiga chini cheo chao atakua amejijenga Sana ata 2025 anaweza fanya vizuri pitia chama chochote nje ya ACt
 

Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,717
2,000
Namuona makam wa kwanza wa Zanzibar Kama mwanasiasa bora tu,ila wasiwasi wangu ni viongozi toka bara so Kama akipiga chini cheo chao atakua amejijenga Sana ata 2025 anaweza fanya vizuri pitia chama chochote nje ya ACt
Sure
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom