Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud

"....Tumejipanga Mwaka huu wataisoma...." Alisikika muimbaji maarufu
 
Othman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
 
...and Opportunists. Katika mahojiano yake na Tundu Lissu, kwenye mfululizo wa vipindi vya one on one with Tundu Lissu, Zitto Kabwe kafafanua vizuri sababu zinazomfanya awe mwanasiasa NYOKA. Ni ile TAMAA yake ya URAIS.

Wakati CHADEMA wanamtangaza Wilbrod Slaa kuwa mgombea urais wao 2010, siku hiyo hiyo Zitto Kabwe akiwa Kigoma, alitangaza nia yake ya kugombea urais katika miaka ya baadae.

Nilijiuliza lengo lake, timing yake. Hakushiriki na wenzake katika kumtangaza Slaa, bali kujenga Brand yake binafsi. Siasa zote, akili zote, nguvu zote za Zitto Kabwe zinaelekezwa kumjenga kwa nafasi ya urais. Yupo tayari kushirikiana na yeyote ambaye anaona atamsaidia katika safari yske hiyo.
 
Othman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
Wafuasi wa Zitto wana tabu sana
 
...and Opportunists. Katika mahojiano yake na Tundu Lissu, kwenye mfululizo wa vipindi vya one on one with Tundu...
Zitto asingekuwa na tamaa sasa hivi angekuwa mwanasiasa mkubwa sana kuliko Mbowe na Lissu.

Ila ndiyo hivyo hakuiona kesho sawa sawa aliamini atafika kwa uwezo wake binafsi.

Kwenye siasa unahitaji vitu vingi sana ila katika vitu ambavyo hutakiwi kuwa navyo ni tamaa.
 
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud

Viongozi waliowahi na waotokea Zanzibar mwenye uislam wa kweli no mhedhimiwa huyu masoud.
Wengine wote ovyo.
 
Zitto asingekuwa na tamaa sasa hivi angekuwa mwanasiasa mkubwa sana kuliko Mbowe na Lissu...
Upo sahihi kabisa mkuu. Yaani Zitto hakuona kabisa kwamba kwa umri wake mdogo, na kwa dini yake, na kwamba ni mtu wa Kigoma,

cheo cha Naibu Katibu Mkuu katika chama ambacho wapiga propaganda wa ccm walikipaka matope kwamba cha wakristo, na wa kaskazini, ilikuwa ni jambo la pekee kabisa.

Alichotakiwa kufanya ni kupiga kazi, kujenga chama kwa nguvu zote. Angejengea heshima kubwa na angeaminiwa kupewa madaraka makubwa, tena kwa kuombwa.
 
Back
Top Bottom