Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama...
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA .
Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
=====
Maandalizi yote yamekamilika ...
Chadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria
Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la...
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...
Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA)
Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes.
Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha...
Kufuatia kuteuliwa kwa Waziri wa Fedha, Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais, nafasi ya Waziri wa Fedha iko wazi.
Je, ni nani atafaa kuvaa viatu vya Mh. Mpango kwenye Wizara yetu nyeti ya Fedha?
Ugonjwa wa Korona uliibuka ktk serikali ya awamu ya tano na katika jitihada za kupambana nao , ikajengeka imani kuwa ni ugonjwa uliotengezwa katika maabara kwa dhumuni maalum hususani katika nchi...
Nafahamu unafahamu kuwa chadema wanatikisa kibiriti na wamenza mapema ili kukutisha.
Kumbuka magufuli aliwaondoa kwenye reli wakakaa wakijua kuwa hataki na wewe simama mapema wakemee muije IGP...
Hakika moto wa katiba mpya umekuwa moto
Mchakato wa rasimu ya katiba mpya unaonekana ni suala geni sana hapa tanzania na mwanzilishi wake inaonekana ni cuf au chadema kwani ccm inaonekana haimjui...
"Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala".
"Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona...
Wasalaam,
Kama kweli wabunge wetu wameguswa na maumivu ya hizi tozo wananchi wao tunazolalamikia, nashauri wajitolee kurudi bungeni Kwa zarura bila malipo wakat ammend hii sheria.
Ushauri tuu...
Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amesema kwa kazi kubwa inayofanyika na serikali ya awamu ya tano chini ya Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutakipa ushindi...
Watanzania ni wapole jamani asikuambie mtu, Mungu katujalia hilo na tumshukuru sana kwa hili.
Tuna upole ule wa kuvuka kiwango cha upole,
Nawaza maneno ya kejele kama ya Mwiguru Nchemba iwe ni...
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na...
DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa...
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.
Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika...
TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza...
Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Hivi inawezekanaje serikali (hapa...
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini...