Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

Haina ubishi hio, ni Dk Charles Kimei. Na akipitishwa leo Makamu wa Rais Dk Mpango, basi usiku Gerson Msigwa anatoa taarifa hio kutoka Ikulu, kesho Dk Charles Kimei anakula kiapo.

Ila ningependa zaidi Mama ampe ubunge wa kuteuliwa CAG Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha, kwa maslahi ya taifa.
 
Hapo nimeangalia Elimu yake
Sasa kati ya Dk Mwigulu na Dk Kimei ni nani ana elimu ya juu kwenye swala zima la Uchumi na Biashara??? Inaonekana hujui CV ya Kimei wewe.

Kimei ndio alioitoa CRDB kutoka kuwa VIKOBA mpaka kuwa BENKI kubwa yenye faida East & Central Africa. Alipo staafu tu sasa hivi imekua ya kitapeli.
 
Kimei ni mtu sahihi sn
 
Back
Top Bottom