Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA)
Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes.

Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu??

Hivi ni kwa nini benki yetu ya maendeleo vijijini(CRDB) iliuzwa na kubadilishwa kinyemela??
 
Back
Top Bottom