Tanzania: Wananchi wapo kidigital, katiba iko kianalogia

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA

Unyooshe nchi au kusimamisha nchi bila katiba mpya nikazi bure
 
Back
Top Bottom