Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo unaweza kuwa habari...
2 Reactions
396 Replies
79K Views
PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wingu la siasa za nchi yetu limechafuka kwa mijadala mbali mbali kuhusiana na maswala muhimu ya kitaifa yaliyoibuliwa na ripoti ya CAG pamoja na comments za wadau mbali mbali kuhusiana na ripoti...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani Hata hivyo DC Kulandaka waMomba...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno. Wananchi wanawakumbuka Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi "...
12 Reactions
63 Replies
5K Views
Mwezi uliopita Bavicha waliaanda kongamano huko Dar, wakaongea hadi jasho na likapita. Je, Mwanza wangeacha jasho liwatoke silingepita kama Dar.
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend! Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi. Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), amewasilisha hati katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kwamba anamuondolea mashitaka mfanyabiashara Mustapha Kambangwa ambaye alikuwa anakabiliwa na...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumefika mahali pabaya Sana,serikali inafanya mambo hovyohovyo bila kujali maumivu kwa wananchi wake Hulu wabunge wapo,najiuliza wanaujua wajibu wao? Au wanashindwa kuikemea serikali kwa kwakuwa...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
TAMBUA KWAMBA:- 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰 AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja. (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote. (3) Nitajitolea nafsi yangu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
NJIA BORA YA UPINZANI KUINGIA MADARAKANI MWAKA 2025 Kwanza namshukuru mwenyewezi Mungu kwa kutujalia afya nzuri na Amani katika Nchi yetu pendwa ya Tanzania Tangua kuanzishwa kwa uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Ongezeko la tozo za Serikali kwenye miamala ya fedha zimekuwa gumzo kila kona na kuanza kuondoa matumaini kwa Watanzania wa kipato cha chini ambao wamekuwa wakiitumia mitandao ya simu kama vibubu...
3 Reactions
28 Replies
46K Views
Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita. Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor...
11 Reactions
98 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu Kwanza nikiri sisi Kama taifa tunawajibu wa kulipa Kodi kwa ajili ya kujenga taifa letu. Pili, Hakuna mtanzania Mzalendo ambae hapendi kulipa Kodi au Kodi kwa ajili ya ujenzi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka. Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri...
4 Reactions
135 Replies
7K Views
Back
Top Bottom