Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
P. Katambi; mbunge wa Shinyanga mjini leo 18/07/2021. Alitembelea mnada ng'ombe wa old shy. Sikuona dhumuni la kuzuru hapo mnadani, zaidi ya kuwanunulia soda baadhi ya mwanachi hapo mnadani. Na...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali...
26 Reactions
49 Replies
4K Views
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale My Take Rais ajiuzulu
22 Reactions
67 Replies
8K Views
ANGALIZO: uzi huu hauna uhusiano wowote na tukio lolote lililotokea hivi karibuni au siku za nyuma hapa nchini. PEGASUS ni mfumo hatari wa kudukua mawasiliano uliotengenezwa na kampuni ya Israel...
20 Reactions
55 Replies
7K Views
Mbunge wa Buchosa, Shigongo amesema Serikali ni sikivu na yeye kama Mbunge ameshawasiliana na Rais wa JMT ili aziangalie kwa upya hizi tozo za miamala ya simu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
6 Reactions
93 Replies
7K Views
Sauti za wananchi zimesikika Binafsi ninapongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hili. Sioni haja ya watu kugeuka tena kusema mbona Rais huyo huyo alisaini sheria na sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NAIBU WAZIRI ATUA SAME MASHARIKI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU, DATA NA REDIO Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefanya ziara ya kukagua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mada inahusika Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana. Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
MONDAY JULY 19 2021 Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali. Ummy ameyazungumza haya saa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Bila kupanga, bila maandalizi, bila mikutano ya kupanga nini cha kufanya juu ya haki zao, wamejikuta kwa nguvu moja wameandamana na mabango (mabandiko) kwenye mitandao kwa sauti moja kupiga tozo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu, Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia watu wakimlinda aliyekuwa Rais wa nchi kiongozi wa umma asizungumziwe. Tulishuhudia akina Christopher Mtikila RIP wakimsema vibaya Mwl. Nyerere RIP bila watu wa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mh. Rais, Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom