Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu. Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba...
22 Reactions
65 Replies
5K Views
Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani. Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission? Kama siyo...
7 Reactions
74 Replies
15K Views
"Maafisa wa Usalama wamefika Kijiji Cha itumbiko wilayani Kakonko(KIGOMA) na kumtaka katibu mwenezi wa CHADEMA Tawi la Itumbiko, Ashushe bendera iliYopo Nyumbani kwake na amegoma kuishusha kwa...
20 Reactions
78 Replies
6K Views
Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Baada ya kilio cha muda mrefu cha juu ya kutokuwepo kwa Pesa mfukoni mwa wananchi, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kulishughulikia tatizo hilo. Kwa kutumia tozo za miamala ya simu na mafuta...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa tulipofikia muafaka wa kitaifa sio matakwa ya chama chochote au hata Rais ni kitu cha lazima kama ilivyokuwa Zanzibar. Zanzibar muafaka haujaja mpaka watu wamekufa hii ni kwasababu njia zote...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Habari za mchana Mabibi na Mabwana? Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani. Wakuu kama kichwa cha huu uzi kinavyojielezwa hapo juu ni natumaini yangu kwamba hata wewe unayesoma huu uzi...
3 Reactions
83 Replies
4K Views
Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji! Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania...
0 Reactions
7 Replies
943 Views
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi. 1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema...
31 Reactions
36 Replies
4K Views
ALIYEKUWA Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishina Mstaafu Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Godfrey Nzowa, amesema kuna baadhi ya viongozi nchini hawana dhamira ya kweli ya...
10 Reactions
219 Replies
25K Views
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameendelea na ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, ambapo katika moja ya hotuba zake amewataka wananchi kuchukua tahadhari. Makamu wa Rais...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge...
29 Reactions
44 Replies
4K Views
Naomba sana VIONGOZI na WABUNGE wetu SOMENI Kitabu Cha ISAYA 10:1-4 Kuna Kitu MUNGU wetu KATUAMBIA.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika. Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako. Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo...
32 Reactions
88 Replies
6K Views
Tuna wabunge dhaifu na wengi wasiojielewa hawa wa CCM waliopita bila kupingwa na kulindwa na Mamlaka. Bungeni hawana uwezo wa kujenga hoja na wala hawana uelewa wa mambo ya Uchumi na Maendeleo...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii...
2 Reactions
1 Replies
809 Views
Back
Top Bottom