Fikra zenye kutawaliwa na ubinafsi (Egocentric Thinking) ni matokeo ya binadamu kwa asili kutojali haki na mahitaji ya wengine.Kwa asili binadamu hatukubali mitazamo ya wengine, na pia hatuoni...
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya...
Shigongo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na kulipa tozo ya miamala ya simu tuweze kuinua uchumi ambao umeporomoka, amewataka wananchi kuvumilia machungu kwa miezi kuanzia kumi na nane au zaidi...
DODOMA - JULAI 19, 2021
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19...
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya...
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa...
Mh @mwigulunchemba hii hoja ya kwamba serikali imekusudia kuingiza au kuachia tsh.trilion tano kupitia kulipa wazabuni wanaoidai serikali ili ziingia katika mzunguko na kwa wananchi, hoja hii na...
Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh...
Nilipomsikia Mh Mwigulu kuwa wameagizwa na Mama kuangalia upya Tozo za miamala kuwa zinatia shaka ghafla nimekumbuka suala la Bando za data kupunguzwa kipindi kile na Mh Ndugulile. Zilipopunguzwa...
Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee!
Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya...
Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais.
Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana...
Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho alipitia magumu kama Rais wa Nchi...
Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko...
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro "Sheria iko wazi.
1. Awe raia halisi wa Tanzania
2. Umri
3. Diplomasia
4. Makampuni.
Lakini zaidi tunazingati mwombaji awe na...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ya Ukweli na Maridhiano, ili kutibu majeraha ya makundi mbalimbali ya kijamii yaliyotokana na...
Hakuna ataye kuwa salama kwenye hili na matokeo mtayashudia mkiwa bado mnapumua. Kamali zimekuwanyingi katka awamu hii ya utawala na imekuwa halali eti kwa kuwa wwanakula kodi yao lakini je mmejua...
Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo.
Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.