Shinyanga: Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi atembelea mnada wa ng'ombe wa Old Shy

Wakudadisi

JF-Expert Member
Jul 13, 2021
316
210
P. Katambi; mbunge wa Shinyanga mjini leo 18/07/2021. Alitembelea mnada ng'ombe wa old shy. Sikuona dhumuni la kuzuru hapo mnadani, zaidi ya kuwanunulia soda baadhi ya mwanachi hapo mnadani. Na huku wakimfulahia bila kujua changamoto zinazowakabili.

IMG_20210718_144735.jpg
IMG_20210718_144735.jpg
IMG_20210718_144633.jpg
 
Katambi hakuchaguliwa na wanashinyanga,ila alichaguliwa na jiwe,huyu kijana hamnazo kabsa,amshukuru sana jiwe
 
Kunywa bia habari za barabara zitakusaidia nini alisikika mlevi mmoja akiongea.

Demokrasia haipo tz.
 
Huyu wala si mwakilishi wa wananchi, bali ni mwakilishi wa udhalimu, maana hakuchaguliwa na wanashinyanga
 
Kwenye kura za maoni alikuwa wa 5 na kura zake 21!
Aisee inatia kichefuchefu,hao wanne wote wanamuunga mkono kweli?
CCM kuna mpasuko wa chinichini,walipokwa Uhuru wao.
Hata wizara alipewaje? 2025 afunge vilago
 
Aisee inatia kichefuchefu,hao wanne wote wanamuunga mkono kweli?
CCM kuna mpasuko wa chinichini,walipokwa Uhuru wao.
Hata wizara alipewaje? 2025 afunge vilago
Huyo hapa Shinyanga hatakiwi! Kuanzia kwenye chama mpaka kwa wananchi. Chama kilimrudisha Masele, lakini akakatwa na Mh. Jiwe! Kwa wananchi walimpa yule mmoja wa COVID-19 Salome Makamba akadhulumiwa na Mh. Jiwe!
 
CCM wajanja sana, wamepunguza kodi za vileo ili watununulie na kutulewesha na bia ili wapite kiurahisi kwa hongo ya bia.
 
Huyo hapa Shinyanga hatakiwi! Kuanzia kwenye chama mpaka kwa wananchi. Chama kilimrudisha Masele, lakini akakatwa na Mh. Jiwe! Kwa wananchi walimpa yule mmoja wa COVID-19 Salome Makamba akadhulumiwa na Mh. Jiwe!
Jiwe alinunua kotekote..
Huyo Salome ndiyo kajiharibia kotekote.Salome anauhuru wakutembea hapo mjini kama awali
Nani wanamajina 2025 kwa chadema
Ccm
 
Katambi alikuwa mtu 12 akavushwa kupewa nafasi kugombea na akapatishwa nafasi ubunge.....
 
Jiwe alinunua kotekote..
Huyo Salome ndiyo kajiharibia kotekote.Salome anauhuru wakutembea hapo mjini kama awali
Nani wanamajina 2025 kwa chadema
Ccm
Salome mkuu kajichafu sana na hii habari yao ya COVID-19. Alikuwa anakubalika sana kwa raia wote wa Shinyanga bila kujali itikadi. Wamama wa CCM wenyewe walikuwa wanamwunga mkono! Sasa hivi mkuu jimbo liko wazi kotekote iwe CHADEMA au CCM!
 
Back
Top Bottom