OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,711
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzulu
Hapo kampuni za simu zinajaribu kuepuka mdororo utakaowakumba kwa kukimbiwa na wateja!Tokea lini kampuni za simu zikawaonea huruma wateja wake?
Mama anaupiga mwingi
Kazi iendelee
Hizi ni kelele za kitambo tuu kama mafuta afu mtatulia tuliii.View attachment 1859184
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzuru
Sasa hivi anapiga penalti.Tokea lini kampuni za simu zikawaonea huruma wateja wake?
Mama anaupiga mwingi
Kazi iendelee
Siyo wapunguze Tozo haitakiwi kuwepo maana tayari tunalipia kodi kwa kila muamala unaofanyikaTozo wameweka kubwa sana! waipunguze.
Acha ujinga wewe! Hivi unajua maana ya Rais kujiuzulu weweView attachment 1859184
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzulu
Kampuni za simu wameinvest sana mpaka hii system ya pesa kwenye simu kua apo ilipo .....Hizi ni kelele za kitambo tuu kama mafuta afu mtatulia tuliii.
Yaani nchi ambayo unamwambia mwananchi adai risiti hafanyi afu umuwekee kodi mbadala ndio awe analia Lia? Sitegemei Serikali kusalimu amri kwa upuuzi.
Hayo makampuni yanatuibia Sana eti nao wanalia.Afu wauza magaseti wanatafuta habari za kuuzia magaseti hakuna chochote
Siyo wapunguze Tozo haitakiwi kuwepo maana tayari tunalipia kodi kwa kila muamala unaofanyika