Waziri wa mambo ya ndani mh George Simbachawene amemtaka mkurugenzi mkuu wa NIDA ajitafakari kama bado anastahili kuiongoza taasisi hiyo.
Simbachawene amesema NIDA wameshindwa kutoa vitambulisho...
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na...
Rais Magufuli leo July 12 amemteua Dkt.Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) akichukua nafasi ya Godffrey Mwambe, kabla ya uteuzi Maduhu alikuwa Meneja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Oktoba, 2017 atawatunuku vyeti wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi wa...
Ni kuhusu jina unalolitumia la Mwigulu Nchemba vyeti vyako vya kitaaluma. Nimefukua makabrasha yangu na kuona mambo mengi yanayohusu jina na vyeti vyako.
Kama alivyosema Pasco ,jina la Mwigulu si...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31...
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.
Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.
Sasa kodi...
Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua.
Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala...
Inaelekea Tanzania tuna tatizo la wananchi kuzoea bure na misaada. Ukiangalia hata mijadala mingi watu wanaongea na kuandika kama vile kila kitu inatakiwa serikali kutoa.
Hatuwezi kuwa na...
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu...
Naibu Katibu Mkuu CCM Mh. Nchemba anafanya janja ya nyani kuanza kufanya kampeni, angalia chini picha na maneno yaliyoandikwa "MWIGULU NCHEMBA 2015" ukiwa unatokea DSM kwenda Mwanza hutashangaa...
Akiwa Mwanza kamanda Mbowe amesiitiza kuwa Migulu Nchemba hayuko vizuri kichwani.
Maana kama mtaalamu wa uchumi mwenye Phd huwezi kuruhusu anayetuma na anyepokea kukatwa kodi.
My take: Chadema...
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua...
Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi...
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, George Simbachaweme amesema Mamlaka inaendelea kugawa vitambulisho katika baadhi ya maeneo licha ya kuwa vinatengenezwa kwa uchache.
Amesema kwa mujibu wa...
Hili swala la tozo kwenye miamala ya simu Mwigulu na wenzake wamekosea padogo sana kama wachumi.
Wakati wanaijadili bungeni walituaminisha kuwa makato yatakuwa kati ya Tsh 10 hadi Tsh.1000/...
Kituo cha haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimempongeza Rais Samia kwa namna alivyoingilia kati swala la tozo za kizalendo zilizoanza kuumiza na kutesa wananchi
LHRC wamemuomba Rais Samia...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano.
Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu...
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule...
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.