Mbunge Shigongo: Nimewasiliana na Rais ili aziangalie upya hizi Tozo za miamala ya simu

Mbunge wa Buchosa Shigongo amesema serikali ni sikivu na yeye kama mbunge ameshawasiliana na Rais wa JMT ili aziangalie kwa upya hizi tozo za miamala ya simu.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Apeleke unafki huko.

Mpaka Bajeti inapitishwa, kwa nini hakusimama kuupinga huo mpango wa tozo?

Leo baada ya kuona reaction ya wananchi ndiyo anaanza kubwabwaja?
 
Mbunge wa Buchosa Shigongo amesema serikali ni sikivu na yeye kama mbunge ameshawasiliana na Rais wa JMT ili aziangalie kwa upya hizi tozo za miamala ya simu.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Asijikoshe mbuzi huyu aonekane yy ndo Mbunge mwenye mahaba na wananchi, kwa nn hakupinga siku hoja hii ilipowasilishwa na Zungu kule Bungeni? Si ndo waligonga meza kuunga mkono hoja. Unafiki mtupu.
 
Back
Top Bottom