Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu...
12 Reactions
88 Replies
7K Views
Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
MLITAKA RAIS AFANYE NINI? Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho...
1 Reactions
2 Replies
676 Views
M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
  • Poll Poll
Tupige kura ili kujua Watanzania tunataka nini kuhusu kodi hii mpya ya miamala
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao...
12 Reactions
62 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza. Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya Wakati...
9 Reactions
65 Replies
7K Views
Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine...
2 Reactions
3 Replies
999 Views
Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania. Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Inashangaza sana Waziri anachukua maoni ya kina Zungu na kuyapeleka kwenye baraza la mawaziri kuyajadili,kisha kuyarudisha tena bungeni wakayapitisha kwa kishindo bila huruma. Hii siyo roho ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini. Kuna mito huingia kwenye maziwa...
12 Reactions
78 Replies
8K Views
ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
3 Reactions
77 Replies
7K Views
Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hujambo? Watu ambao hawataki kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii, tumechoka kusikia malalamiko yao! Nchi haiwezi endelea bila wewe kutoa kodi, hutakia hama nchi! Oho! Mara makato...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Samia alikabidhiwa ripoti hiyo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kama alivyoagiza uchunguzi ufanyike wa fedha zilizotolewa benki hiyo kati ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom