Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, Aliyekuwa DC wa Hai Ndg. Sabaya alifanikiwa mara kadhaa kudhibiti uhalifu na wahalifu wa Wilaya ya Hai waliotumia mgongo wa siasa. Hata Mbowe mara kadhaa alidhibitiwa na wengi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha...
22 Reactions
234 Replies
22K Views
Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Tukizungumzia uwajibikaji hatuwezi kuiacha serikali na mashirika ya umma yaliyobeba majukumu ya kuwahudumia watu ukiangalia wakulima,wafugaji,wafanyabiashara,wanafunzi n.k wanaingalaia serikali...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Najiuliza tu polisi wa Tanzania wameutangazia ulimwengu kwamba Tanzania kuna ugaidi na magaidi Tanzania. Sasa najiuliza Rais alikuwa anaita wawekezaji juzi hapa waje kuwekeza Tanzania? Je...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Tuliotumbuliwa bila sababu- Tuna Jambo letu 28/10/2020 2. Tuliofukuzwa UDOM tukaitwa vilaza - Tuna Jambo letu 3. Tulioutwa mafisadi kisa tulimuunga mkono Lowasa- Tuna Jambo letu 4...
1 Reactions
7 Replies
958 Views
Mimi nafurahi kusikia na kuona yanayotukia.! Maana kipindi kile anaanza watu wakasema anawakomesha praise team ya Mwendazake, kwa hiyo wao wakajipa umuhimu kwa mtu asiewahusu. Wacha wanyooshwe...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi ndivyo kaandika kupitia Twitter:
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa nauliza tu corona haichagui msongamano uwe lazima au usio wa lazima. Tarehe 25/7/2021 huko Kigoma kuna mechi kubwa sana baina ya vilabu vikubwa nchini. Mechi hiyo huenda ikashuhudiwa na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Bei ya Petroli kwa lita Zambia 1800 Rwanda 1800 Kenya 2000 Tanzania 2400 Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na...
96 Reactions
268 Replies
21K Views
Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli? Maswali...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
KUMTII ASIYETII Huu ni mwaliko mgumu na mchungu katika maisha ya mwanadamu: 1. Anavunja sheria, Lakini anakualika utii sheria. 2. Anavunja kiapo, anakualika uheshimu kiapo. 3. Anatumia nguvu...
2 Reactions
1 Replies
450 Views
Wadau suala la kutaka kuifuta chadema ni mkakati wa muda mrefu. Kinachotafutwa kwa muda mrefu ni sababu tu. Kesi aliyounganishwa nayo ilitengenezwa na aliyekuwa dc wa hai sabaya mwaka 2020...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake? Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu? Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko. Kuumiza wakulima, wafanyabiashara na wafugaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu kuna kitu muhimu Bunge linatakiwa kujifunza hapa 1. Pale wanapo ambiwa kwa maneno matamu kuwa bei itaongezwa kidogo tu, waombe kabisa hiyo draft ya ongezeko ili wajiridhishe...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe Nanyi, Nikienda Moja kwa Moja kwenye details zenye ku backup Heading Pale juu. Tumeona Kataza la Mikusanyiko isiyo ya Lazima likitolewa na Wizara ya Afya leo. Ni dhahiri Hii...
2 Reactions
1 Replies
724 Views
Back
Top Bottom