Kumbambikizia Mbowe kesi ya ugaidi ni mkakati wa kuifuta CHADEMA

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau suala la kutaka kuifuta chadema ni mkakati wa muda mrefu. Kinachotafutwa kwa muda mrefu ni sababu tu. Kesi aliyounganishwa nayo ilitengenezwa na aliyekuwa dc wa hai sabaya mwaka 2020.

Kongamano
Suala la kongamano la kudai katiba mpya ndilo hasa lililopelekea kukamatwa kwa Mbowe na kutafutiwa kesi na kama polisi wanakana kuwa Mbowe hakukamatwa kwa ajili ya kongamano kwanini wanampeleka Mwanza

Siasa za chuki na kubambikiana kesi hakika hazifai.
 
CCM wanataka kuifuta CDM kwa hila.
Wanajitafutia matatizo yasiyo ya lazima.Sasa hivi badala ya kushughulika na changamoto za wimbi la 3 la UVIKO serikali inatumia fedha kutengeneza kesi hewa.Eti Mh.Mbowe ni gaidi?Muuaji? Seriously?

Katiba, Katiba, Katiba!
 
Chama kiliweza kufutwa ni TANU tu kikazaliwa CCm
CHADEMA sahau kufutika hawana mpango kukipa jina mpya kipozama za werevu kukosekana kwa mbowe harakatini hakuzuii au hakuna wengine wakuongoza harakati(MBOWE angekufa means cdm imekufa!!!!!)

Mbowe anapiganiwa kwajili ya kuonewa kama BINAdamu kwann apakaziwe

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe kama kiongozi mkuu wa chama chao ana kesi nyingi tuu za kujibu

Hajawahi kuwajibisha wala kuwajibika kwenye mambo ya hatari anayofanya au yanayofanywa na watendaji wake. Hii ina maana wanakua kwenye utekelezaji wa yale wanayokubaliana

Mimi bado nataka kujua WEMBE walioutumia na wanaotaka kuendelea kuutumia

Wahenga walisema mchelea mwana kulia hulia yeye
 
Wadau suala la kutaka kuifuta chadema ni mkakati wa muda mrefu. Kinachotafutwa kwa muda mrefu ni sababu tu. Kesi aliyounganishwa nayo ilitengenezwa na aliyekuwa dc wa hai sabaya mwaka 2020.

Kongamano
Suala la kongamano la kudai katiba mpya ndilo hasa lililopelekea kukamatwa kwa Mbowe na kutafutiwa kesi na kama polisi wanakana kuwa Mbowe hakukamatwa kwa ajili ya kongamano kwanini wanampeleka Mwanza

Siasa za chuki na kubambikiana kesi hakika hazifai.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Wote wanaombambikia kesi Mbowe watakufa kwa nguvu ya Mungu .

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Back
Top Bottom