Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na...
Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania
1. Ugaidi
2. Uhujumu Uchumi
3. Uhaini
Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne
4. Sio Raia wa Nchi.
Safari bado ndefu.
Kuna features kadhaa kuhusu matukio makubwa mawili yaliyojiri siku chache zilizopita, la kukamatwa Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine kadhaa wa Chadema, na kabla ya hapo, kukamatwa kwa wafuasi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wale ndugu zetu waliombea, waliongojea, na hata waliosubiria Magufuli afariki akiwa madarakani leo wanataka tuendelee kuamini kuwa chaguo lao limeingia madarakani sasa...
Habari zenu!
Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote".
Tatizo...
Hatimae Serikali ya Zanzibar imezindua rasmi chanjo ya Covid-19 baada ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee Jinsia na Watoto Ahmed Nassor Mazrui kuanza kuchanjwa na kuwahimiza wananchi kuondoa...
Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira...
Je, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ulikuwa wapi Siku zote kutueleza Watanzania kuwa kulikuwa na Hisia kutoka kwa Watu kuwa una Ugomvi na Hayati Rais Dkt. Magufuli wakati umekiri mlikuwa mpo...
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.
Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21
Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa...
Baraza la wanawake wa chama cha demokrasia na maendeleo kimevujisha hoja ambazo chama chao kimepanga kizipeleka kwa mh raisi kuwa ndio nguzo za kuleta demokrasia imara nchini ,hoja hizi...
Kwa yaliyotokea Mwanza kwa utawala huu kama ilivyokuwa kwa awamu ile, hakuna jipya.
Nisiache kumlilia hayati baba wa Taifa (rip) kiongozi mzalendo aliyejawa haiba zote za haki, uhuru na usawa...
Habar za muda huu ndugu wanabodi
Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha...
Kutafuta haki Kuna Gharama yake, utabatizwa Kila aina ya majina ya waovu Kama vile gaidi, muuza madawa ya kulevya, jambazi, jizi nk
Vile vile utabezwa kwa namna ulivyo kimaumbile, Kama ni mlemavu...
Kwamba ili Serikali ya Awamu ya Sita ikamilishe miradu ya kimkakati, ilianza wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano na kuboresha Huduma za Jamii (Afya, Elimu, Maji nk) ni kuweka tozo kwenye miamala...
Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa...
Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka...
Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu.
Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi...
Inafahamika wazi kuwa kama utapandisha bei ya mafuta utapandisha pia bei zote za vitu vyote kwa wakati mmoja, na gharama yote itakwenda kwa mwananchi wa kawaida anaetumia huduma.
Wananchi wa...
Tanzania ni yetu sote hebu tuutangulize utanzania na Mungu mbele.
Tunapofikiria kuzuia maambukizi ya Covid 19 kwa kuzuia mikutano ya kisiasa tufikirie pia kuzuia maambukizi kwenye viwanja vya...
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.
Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.