Uwajibikaji ndiyo afya ya Utawala bora

FARAJI ABUUU

New Member
Jul 15, 2021
3
0
Tukizungumzia uwajibikaji hatuwezi kuiacha serikali na mashirika ya umma yaliyobeba majukumu ya kuwahudumia watu ukiangalia wakulima,wafugaji,wafanyabiashara,wanafunzi n.k wanaingalaia serikali na mashirika ya umma vipi wanawajibika na kusaidia kukidhi mahitajio ya matarajio yao. pamoja na majukumu hayo unakuta wahusika hawawajibiki ipasavyo kuhakikisha wanatatua kero za hao watu.

NINI KIFANYIKE?
1-kila kiongozi atambue hapo alipo yeye ni kwa ajili ya watu kwahiyo ana jukumu la kuwahudumia bila kujali anaye muhudumia ni nan

2-kiongozi awajibishwe pale anapokiuka au kuacha kuwajibika kuwahudumia watu bila kujali ukaribu na viongozi wengine wa serikali.

3-serikali itambue inawajibika kufungua fursa kwa wananchi wake katika sekta za kiuchumi, biashara, kilimo n.k
4-serikali ina wajibu wa kuweka wazi taarifa zinazo wahusu wananchi katika sekta zao.

5-wananchi kutoacha kuieleza serikali juu kero walizokuwa nazo na pia mahitajio yao kwani wakiacha kuna uwezekano mkubwa wa kujisahau kuhusu majukumu yao.
 
Back
Top Bottom