#COVID19 Katika Kupambana na Covid-19: CHADEMA Must be Thanked

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu Amani iwe Nanyi,

Nikienda Moja kwa Moja kwenye details zenye ku backup Heading Pale juu. Tumeona Kataza la Mikusanyiko isiyo ya Lazima likitolewa na Wizara ya Afya leo. Ni dhahiri Hii inafuatia sarakasi za Polisi na Mikutano CHADEMA kule Mwanza. Ni wazi kuwa bila Movement za CHADEMA hili Katazao wala tusingeliona.

Kumbuka Nandy Festival Jinsi ilivyonogeshwa na ile Simu. Ona Mpaka kabla ya Katazo la leo jinsi Kipute cha Simba na Yanga kinavyopigiwa Promo Kigoma.

Ni dhahiri kuwa Move ya CHADEMA ime trigger katazo la leo katika mapambano dhidi ya Maambukizi Mapya ya Covid-19, Historia itawakumbuka na kuwavika Taji la ushindi CHADEMA.

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom