Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo.
Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali inaenda kuachia mihela so hata machungu ya kodi za miamala yatatoweka.
Kauli ya Mh. Mwigulu kwa niaba ya Rais ina kautamu Fulani hivi.
Hebu tusubiri ndani ya hizi siku 5 - je ni kweli itakuwa kama ilivyokwishatamkwa au akina Mwigulu wanaenda kumharibia zaidi Rais Samia?