Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfumuko wa bei juu. Tozo juu. Hakuna Uhuru wa kuongea ndani ya taifa huru. Makesi ya kubambikiwa yamerudi kwa kasi. Mafisadi yamekamata nchi yetu tena. Nchi inaonekana ipo kwa wajanja wajanja...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua. Nakumbuka huko...
36 Reactions
84 Replies
8K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema hawatamwekea dhamana mwenyekiti wao iwe polisi au mahakamani waliomkamata wakitaka ama wamuachie au wamfunge tu. Kama chama tulishakubaliana...
20 Reactions
67 Replies
6K Views
CHADEMA hawajitambui kwa kujiita chama kikuu cha upinzani huku bungeni wana kiti kimoja tu cha kuchaguliwa na wananchi. Wamekua hawakubali ukweli kwamba hawana ridhaa ya wananchi kuongoza nchi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. Leo Kutwa nzima habari kubwa ni Kodi ya miamala ya Simu. Kodi hii ime-originate toka kichwani mwa Mussa Hasan Zungu a.k.a Ngariba asiyeogopa mkojo. Yeye ndiye aliyeleta hili...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya amefariki dunia leo Julai 20, 2021 katika Hosp ya Taifa, Muhimbili. Marehemu Prof. Nkunya alikuwa Profesa Emerita katika...
15 Reactions
221 Replies
23K Views
"Nchi yetu imeshuka kiuchumi tangu lilipoanza janga la #Corona. Tulikuwa tunaingiza Trilion 6 na zaidi kwenye utalii ila kwa sasa mapato yameshuka mpaka trilion 2" Mbunge wa Ilala Mussa Azan...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaliyotokea Mwanza Leo ni ushahidi tosha kuwa CCM Chama kikongwe kiko Madarakani kwa miaka 60 kinaogopa kongamano la watu 200 TU zaidi ya Maambukizi ya COVID-19. Nguvu iliyotumika kuzuia...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Televisheni ya Al Jazira imetangaza habari za kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na kutoa picha zake mbalimbali akiwa kavalia t shirt na kofia nyekundu. Hii siyo mara ya kwanza...
23 Reactions
201 Replies
15K Views
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni. Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na...
12 Reactions
337 Replies
32K Views
Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo vyombo mbalimbali vya kimataifa vimetoa uzito wa hali ya juu kutekwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na kukamatwa na wasaidizi wake. DW - Chadema yawaamuru wafuasi wake kumsaka...
44 Reactions
85 Replies
6K Views
Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka...
2 Reactions
98 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama...
7 Reactions
79 Replies
8K Views
Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine". Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate...
11 Reactions
94 Replies
11K Views
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanaokumbuka history hapa .. kwenye kilele cha umaarufu na kukubaliwa mwanzoni kabisa alipo chaguliwa JPM. Na kuanza kupata umaarufu kwa matamko na ziara za kushtukiza .. Hapa JF ilianza kampeni...
29 Reactions
129 Replies
14K Views
Leo nimepata bahati ya kutembelea akaunti ya Facebook ya Mh. Anna Elisha Mghwira Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyestaafu na kubaini maono yake na kazi kubwa aliyoifanya- ASANTE NUKUU Bibi Maria...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom