BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,342
KUMTII ASIYETII
Huu ni mwaliko mgumu na mchungu katika maisha ya mwanadamu:
1. Anavunja sheria, Lakini anakualika utii sheria.
2. Anavunja kiapo, anakualika uheshimu kiapo.
3. Anatumia nguvu, anakutaka utumie busara.
4. Anakaidi kumtii Mungu, anakualika umtii yeye.
5. Anatumia silaha, anakutaka utumie maneno.
MATOKEO YAKE:
A. Aliye na madaraka juu yako, Ajue kuna aliye na madaraka juu yake.
B. Asiyemtii aliye juu yake, ajue hawezi kutiiwa na walio chini yake.
C. Anayetumia nguvu kupata utii wako, huvuna utii unaolewesha.
"Wanaokataa mazungumzo ya amani wanawezesha vurugu zisiepukike" Nelson Mandela).
Askofu Bagonza