TLS yaingilia kati sakata la Mbowe

TLS yaingilia kati sakata la Mbowe

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward Hoseah
FB_IMG_1627208630390.jpg
 
Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga.

.....................................................
Update:
Mnaoendelea ku-reply kutokana na hii comment yangu nachoweza kuwaambia ni 'msisahau ku-like na ku-subscribe kwa mambo mengi mazuri kutoka kwangu'
 
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618

Baada ya watu kumponda huyo Hosea kwenye mitandao ya kijamii ndio kujitokeza. Aende mahakamani kupata tafsiri ya kisheria kuhusu huu uhuni unaondelea wa kuwazuia cdm kufanya mikutano, lakini mechi za mpira zinaendelea, na wanaccm wanafanya mikutano wakavyo.
 
Hawa TLS wapuuzi Sana wameambiwa Mbowe amekamatwa kwa kuandaa kongamano, kwani hawajui kuwa waliokamatwa kwa kongamano wameachiwa Mbowe amekamatwa kwa ugaidi

USSR
 
Baada ya watu kumponda huyo Hosea kwenye mitandao ya kijamii ndio kujitokeza. Aende mahakamani kupata tafsiri ya kisheria kuhusu huu uhuni unaondelea wa kuwazuia cdm kufanya mikutano, lakini mechi za mpira zinaendelea, na wanaccm wanafanya mikutano wakavyo.
Naona ubongo umeanza kumrudia
 
Hawa TLS wapuuzi Sana wameambiwa mbowe amekamatwa kwa kuandaa kongamano,kwani hawajui kuwa walk kamatwa kwa kongamano wameachiwa mbowe amekamatwa kwa ugaidi

USSR
Kaa kwa kutulia uone kama kuna kesi ya ugaidi
 
Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Kwaio Katiba sio muhimu??

We umeuza akili
 
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Hii nchi haitawaliki kisheria, inatawaliwa kimabavu.
Mtu unaweza uawa hivi hivi hadharani mbele ya camera na hawa hawa ccm halafu wakakupakazia ww ni gaidi
 
Back
Top Bottom