#COVID19 Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Rubbish!, unadhani kiwanda cha chanjo ni sawa na kiwanda cha chereheni kushona nguo kama vya mwijage> Akili zenu zimeshakuwa za kijinga in all fields. These are high tech ventures, siyo kama kiwanda cha cherehani cha kushona viraka kwenye nguo ambavyo you are contemplating to erect all over Tanzania
 
Hawa watu kwa ujinga uliowajaa wanatuona kuwa Watanzania wote ni wajinga kama wao.

Inakuingia vipi akilini nchi inayo import hata painkillers iweze kutengeneza chanjo?

Kweli ujinga ndio mtaji wa hawa wehu.
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Watu kama nyie ni hasara kwa taifa
 
US walitupa $600M kwenye wizara ya Afya sasa ile pesa tuliyopanga kutumia kwanini hatujajenga kiwanda!.
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mkuu ulifanikiwa kupata ajira?
 
Umeandika utoko
 
Ndio maana nawadharau sana baadhi ya Proccm, yaani MTU ninakupa msaada bado unataka kunipangia? Umepewa lift unataka kupiga na honi?
 
Uzeni zile rasilimali mlizosema mnazilinda mpaka mkaagiza Lisu apigwe risasi, kisha mjenge kiwanda cha chanjo.
 
Ndio maana nawadharau sana baadhi ya Proccm, yaani MTU ninakupa msaada bado unataka kunipangia? Umepewa lift unataka kupiga na honi?
Msaada unatakiwa kuwa endelevu ...Hujawahi kujiuliza kwa nini tunasaidiwa mahindi na sio zana za kilimo .
Dunderhead
 
Back
Top Bottom