Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Police kusema kua anashutumiwa kwa makosa ya Ugaid na Kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikal Nina Imani kabisa utakua unajiuliza ni nani uyo kiongoz alie taka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini apa wanao weza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
Acheni majungu pamoja na wore msiolitakiamemataifa hili.
 
Ukitaka kujua usaniii wa Polisi

Barua ya mwaka Jana 2020

Hata magufuli ajafa maana yake waliiandaa toka mwaka Jana kumtengenezea kesi.

Na wakakosa ushahidi sasa wameona watumie hoja ya katiba kumnyamazisha

Ila sasahivi ndio tunaanza sasa kudai katiba mpya ile rasmi
 
Kwani kuna mtu alishajiaminisha kuwa kifo cha JPM kilikuwa cha kawaida, na ya kwamba tujifute tu machozi na kusonga mbele bila uchunguzi wowote.? Tutakuwa taifa la ajabu sana kiongozi wa nchi afe katika mazingira ya kutatanisha halafu eti tuchukulie poa.
 
Mbowe na genge lake la kigaidi watakuwa wameumiza wameumiza watu wengi sana ila bado hatujui tu maaana genge lake lina mtandao na wengine wamo humo humo "Jikoni" hivyo kuna haja ya kuwasafisha maana hao ndio wanao hatarisha usalama wa nchi yetu.

Hii nchi ina vyombo Makini vya usalama naaamini vitafanya uchunguzi kwa weledi wa hali ya juu ili mtandao huu usambaratishwe kabisaaa.

Pongezi nyingi sana kwa Jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi kwa kuendelea kulinda Amani ya nchi yetu.
kamwe tusikubali amani yetu ikichwzewa.

Amani yetu lazima ilindwe kama mboni ya jicho.
 
Wewe unavyomuona Mbowe ni mtu wa kuuwa mtu kweli.

Hivi hamjui kuwa Mbowe ni mzalendo mfia nchi.

Tell them to free him.
Mzalendo hawezi kuhamasisha vuru na uvunjifu wa amani.
angalia viongozi wenzake wa vyama vingine kama kina Mbatia, Lipumba na wengine uliwahi kuwasikia wanahamasisha vurugu?
Mbowe yeye kila kukicha anapanga mipango ya kuuwa na kuwaumiza watu.wasio na hatia kisa anataka kushika dola, dola haitafutwi kimafia.
hii nchi imejengwa kwenye misingi imara ya Amani na Utulivu.
Amani na utulivu ndio mboni yetu, sasa Mbowe na genge lake wanapanga umafia wao halafu unataka serikali iwachekee.
 
Back
Top Bottom