Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya...
3 Reactions
127 Replies
15K Views
Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni. Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa...
15 Reactions
47 Replies
5K Views
1: Tamko la polisi la kwanza lilitoa tuhuma za Mbowe kutaka kuua viongozi leo ilo shitaka halipo kwenye hati ya mashitaka. 2: Mbowe ametuhumiwa kufadhiri kundi la kigaidi halafu ilo kundi la...
19 Reactions
39 Replies
4K Views
Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
ALAANI MCHAKATO WA UPINZANI KUDAI KATIBA "Mimi mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe nalaani chokochoko hizo na zaidi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii kuendelea kuunga mkono juhudi...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Wiki yote iliyopita iligubikwa na maagizo mbambali ya kujikinga na ugonjwa hewa wa corona Tanzania. Yani ugonjwa wa corona unatafutwa kwa tochi nchini Tanzania. Dunia inakotoka sisi watanzania...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Kipindi kimerushwa jana. Washiriki ni Tundu Lissu, Aikande Kwayu, na wa tatu nimelisahau jina lake.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Itokee sasa gazeti lichapishe maudhui yanayofanana na haya itakuaje? Bado eti kunawatu wanasema wazungu ni watu wabaya.
18 Reactions
41 Replies
7K Views
Kuna mengi yatakuja kuwa public lakini litakalowashtua wengi ni ‘Diary’ hii ya kiongozi ambayo ilikuwa ‘funga mwaka’ ya 2020. Wachache mtanielewa kwa sasa lakini funzo kuu ni kuwa uandishi wa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Yaani Mama unaridhia ushauri uliopewa na wanaokusaidia kazi na kisha unatoa baraka zako utekelezaji uanze. Baada ya hapo, unakaa unatulia na unaridhika kabisa kuona yanayoendelea huku ukijua...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba, yanayoendelea kwenye hii nchi yanaumza. Lakini kabla hatujatupa lawama kwa Amiri Jeshi mkuu lazima tujue kwanza alipo na tujue nini msimamo wake kwenye mambo yanayowafanya...
26 Reactions
63 Replies
10K Views
Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE. Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji...
1 Reactions
0 Replies
763 Views
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya. Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko. Hili si...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama. Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo...
16 Reactions
59 Replies
6K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ile kauli ya 'anaupiga mwingi' inaweza kuwa na ukweli kuliko tunavyodhani. Yaani ni mchakamchaka wa kufa mtu. Ikitokea tu kuna mjadala wa moto unaendelea basi ndani ya siku mbili tatu unakua...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu za asubuhi? Nawatafuta makamanda wezangu tuendeleze vita ya kudai Katiba. Askari mmoja akifa au akipigwa risasi haturudi nyuma. Tunakwama wapi Makamanda? Mbona mkwara tulikuwa nao mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF na Watanzania kwa Ujumla. Kama ilivo wazi kwa wadau na wanaharakati wa Siasa hapa inchini, Moja ya eneo of Great interest katika Masuala ya Siasa ni kubadilishwa/kurekebishwa kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…