Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,262
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
 
Vonix

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
2,782
2,000
Mkuu Gwajima ajibiwe kitaalamu kweli??kwani yeye ni mtaalamu??Dokta mwenye Phd ya utabibu amjibu darasa la saba kitaalamu ataelewa?

Namsifu sana Mhe.Mhongo anaposhambuliwa na watu kama Msukuma ananyamaza kimyaa kama hayupo vile,kifupi,maswali ya kijinga hujibiwa kijinga kama Waziri wa Afya alivyomfananisha huyo Askofu na yulee Kibwetele alieangamiza watu kule Uganda.

Gwajima huyo mbunge,anajinasibu kuwa ana makanisa Ulaya,Marekani na Japani sasa jiulize tu kama hata chanja chanjo ya kovid inamaana haendi tena huko kwenye makanisa yake??ukipanda ndege sharti uwe na kithibitisho kuwa umechanjwa chanjo ya kovid.
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
105,346
2,000
Mkuu Gwajima ajibiwe kitaalamu kweli??kwani yeye ni mtaalamu??Dokta mwenye Phd ya utabibu amjibu darasa la saba kitaalamu ataelewa?? Namsifu sana Mhe.Mhongo anaposhambuliwa na watu kama Msukuma ananyamaza kimyaa kama hayupo vile,kifupi,maswali ya kijinga hujibiwa kijinga kama Waziri wa Afya alivyomfananisha huyo Askofu na yulee Kibwetele alieangamiza watu kule Uganda. Gwajima huyo mbunge,anajinasibu kuwa ana makanisa Ulaya,Marekani na Japani sasa jiulize tu kama hata chanja chanjo ya kovid inamaana haendi tena huko kwenye makanisa yake??ukipanda ndege sharti uwe na kithibitisho kuwa umechanjwa chanjo ya kovid.
👍👍
 
masaka kwetu

Member
Jun 6, 2020
66
150
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
Na imani wakikutana Paschal mayala wa 2007 na pascal mayala wa 2021 , watazipiga ngumi hadi basi. na mwamuzi atakuwa admin wa Jamii forum.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,120
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
Bandiko lako linaonyesha dhahiri kuwa una chuki na Pascal Mayalla.
Mwanahabari nguli, msomi was Sheria na MWENYE exposure, akiwa amefanya kazi na taasisi kubwa kama BBC International anakuwaje na Kiingereza kibovu?
Naona utakuwa hujui tofauti ya Pascal Mayalla na Cyprian Musiba.
Sifa ulizoziandika anazo yule Mjita mshamba
 
Tusitake kufanana namna ya kuwaza. There is a thin line between love and hate. Pascal ni wazi kwa suala la lugha simlaumu si lugha yake. Kiingereza chake kibovu. Leo kuwa anamshambulia Gwajima haimfanyi Pascal kuwa bora. Mimi nina mtizamo wangu kama mimi namchukia pascal acha nimchukie wewe unayempenda fanya hivyo. Maana ngesema nawe unamchukia Gwajima
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,120
2,000
Gwajima Mwanamke au Gwajima dume?
Tusitake kufanana namna ya kuwaza. There is a thin line between love and hate. Pascal ni wazi kwa suala la lugha simlaumu si lugha yake. Kiingereza chake kibovu. Leo kuwa anamshambulia Gwajima haimfanyi Pascal kuwa bora. Mimi nina mtizamo wangu kama mimi namchukia pascal acha nimchukie wewe unayempenda fanya hivyo. Maana ngesema nawe unamchukia Gwajima
Gwajima jike au Gwajima dume?
 
dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
3,804
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
Gwajima alijikataa mwenyewe kwenye ile video aliyokuwa anampiga uno kondoo na sura yake inaonekana live ndo aje kukubali somo la chanjo???
 
Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,565
2,000
...
IMG-20210728-WA0007.jpg
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,713
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.

..CCM hawana uwezo wa kujibu kwa hoja.

..Wanachotegemea wao ni DOLA, au matusi na propaganda.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,232
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
Hawana hoja za kitaalamu za kumjibu ndo maana PM na rais wame kwepa Kiana, na wale went njaa ya madaraka ndo wanakejeli.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,219
2,000
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.

Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.

Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.

Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.

Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.

Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.

Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom