#COVID19 Chanjo ya Corona ina-expire kila baada ya miezi sita (6). Serikali imejipangaje?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,319
2,000
Ndugu zangu,

Kwa walichoma chanjo ya Corona wanachoma sindano mbili ndani ya wiki tatu (3) na baada ya hapo unapata cheti ambacho kinakuwa halali ndani ya miezi (6) kisha unatakiwa kuchanjwa tena ili uwe na kinga.

Ikumbukwe Tanzania ina watu zaidi ya milioni hamsini (50),kama angalau watu milioni 30 wakichoma kila mwaka inaweza kugharimu dola milioni 90-120 kila baada ya miezi sita ikiwa dozi itauzwa dola 3-4 ambayo ni bei ya AstraZeneca kwa wastani.

Serikali inapaswa kuweka mpango madhubuti ili kukabiliana na gharama ya chanjo kama wananchi watahamasika la sivyo tutaishia kugawa chanjo kwa awamu ya kwanza kisha tukashindwa kuwa endelevu kwa tatizo la afya sio covid-19 tu!

Ni natumaini kuna mpango madhubuti kwani tukilemaa wajanja watatumia hizi chanjo kupata rasilimali zetu kwa bei mchekee.
 
mgaka12

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
581
1,000
Ukiuliza mateja wengi mara ya kwanza kutumia dawa walinunua kwa pesa yao ?wengi watakwambia walipewa bure au kununuliwa lakini walipokuwa addicted wale waliowanunulia ndo waligeuka wauzaji na kuwauzia ... sasa mnapewa bure lakini ikifika huko mbele mtanunua kwa pesa yenu hapo ndo mtawekewa mpk kodi ya kutembea barabarani

Watakao piga Chanjo watakuwa watumwa wa watengenexa chanjo mfano mmepiga then baada ya miaka 2 wanasema hyo chanjo baada ya muda fulani inakuwa sumu kuna booster yake na dose ni dola elf 7 hapo ndo mtakapouza vijumba vyenu vya urithi wengine kuingia ktk madeni ambayo hayalipiki kwa kitu ulichopewa bure na ndo shobo zitawaisha
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,017
2,000
South Afrika wana watu kama 60M, walianza kuchanja January hadi sasa wamechanja watu 2m, kwa watu 60m itahitajika miaka 15 kuchanja watu wote South.

Idadi ya watu South haitofautiani sana na Tanzania. Kwa Tanzania pamoja na hii anti-vax sentiment inayojengeka kwa kasi kubwa itakua shughuli pevu.

Changamoto inayonipa shida ni kwamba ukichanjwa bado unatakiwa kuchukua tahadhari sawa na mtu ambae hajachanjwa, lakini pia bado unaweza kuambukizwa na mbaya zaidi bado covid inaweza kukuua bila kipingamizi chochote.

Njia pekee ni kama watu wote wamechanjwa, kama hawajachanjwa bado ni shughuli pevu.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,658
2,000
La tunatumia nguvu kudhibiti ugonjwa ulioua wazungu takribani 4m. Wa Afrika laki mbili.
Badala ya kutumia nguvu kwenye Malaria inayoua mamilioni ya wa Afrika?

Nyie mlipaswa mfe tu na Yule mchawi maana akili yako ni kamasi kwani Malaria haina dawa? Umejiona mjanja mwenyewe kwa huu ushuzi ulioandika hapa. Wasted sperm!
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,885
2,000
U
Nyie mlipaswa mfe tu na Yule mchawi maana akili yako ni kamasi kwani Malaria haina dawa? Umejiona mjanja mwenyewe kwa huu ushuzi ulioandika hapa. Wasted sperm!
Unajua death rate ya Malaria kwa mwaka wewe? Corona yako itakaribia hata kwa robo?
Kaa kijiweni kunakokufaa wewe, matusi na kucheza pool,haya ya kitaalamu waachie walioenda shule.
Ambao hujibu kwa hoja siyo upupu Kama wako.
Au wewe utaishi milele?
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,579
2,000
Ndugu zangu,

Kwa walichoma chanjo ya Corona wanachoma sindano mbili ndani ya wiki tatu (3) na baada ya hapo unapata cheti ambacho kinakuwa halali ndani ya miezi (6) kisha unatakiwa kuchanjwa tena ili uwe na kinga.

Ikumbukwe Tanzania ina watu zaidi ya milioni hamsini (50),kama angalau watu milioni 30 wakichoma kila mwaka inaweza kugharimu dola milioni 90-120 kila baada ya miezi sita ikiwa dozi itauzwa dola 3-4 ambayo ni bei ya AstraZeneca kwa wastani.

Serikali inapaswa kuweka mpango madhubuti ili kukabiliana na gharama ya chanjo kama wananchi watahamasika la sivyo tutaishia kugawa chanjo kwa awamu ya kwanza kisha tukashindwa kuwa endelevu kwa tatizo la afya sio covid-19 tu!

Ni natumaini kuna mpango madhubuti kwani tukilemaa wajanja watatumia hizi chanjo kupata rasilimali zetu kwa bei mchekee.
We unashaurije Danga La Mwigulu Nchemba ?
 
Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
536
1,000
La tunatumia nguvu kudhibiti ugonjwa ulioua wazungu takribani 4m. Wa Afrika laki mbili.
Badala ya kutumia nguvu kwenye Malaria inayoua mamilioni ya wa Afrika?
Hili nalo ni neno lkn hili ni gonjwa lamlipuko kama kilivyo kipindupindu yaani!

Malaria ipo ipo japo huko pia serikali haiko nyuma nadhani unaona hatua inazochukua (vyandarua bure, kupulizia majumbani nk)

Kiufupi huyu Delta hana masiharaha kabisa aiseeee! Tupateni chanjo tujikinge sisi na wapendwa wetu
 
koncho77

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,599
2,000
Washakaa na kuangalia mustakabali utakavyokuwa inshort washajipanga kazi yetu ni kuchanjwa tu basi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom