Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,182
Nmesoma hii habari kwa ufupi imeumiza sana, kwanini waalimu wahamishwe?
Wamefanya kosa gani?
Shule kutokuwa na choo ni jukumu la nani?
Wewe waziri na watu wako wa chini kwanini msianze kuwajibika kabla ya waalimu?
Katika hali ya kawaida mtu yeyote anapoona mazingira aliyopo hayako salama lazma atumie Njia ya kujiongeza, waalimu hawakuwa na kosa kuwatumia wanafunzi kwasababu mazingira ya uchafu shuleni ya kutokuwa na choo yangewadhuru waalimu na wanafunzi pia.
Nyinyi kama serikali kwanini msiwaajibike na hilo lililotokea?
Kwanini mnawaonea waalimu kiasi hicho?