Helsb au Rais Samia nani muongo?

Retina

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
1,038
1,154
Rais Samia alitangaza value retention fee kwa wanafaika Heslb inafutwa, tamko la Serikali kupitia Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia alitangaza inafuta vrf,inafuta makato ya waliochelewa kulipa deni kuanzia mwezi July 2021.

Cha kushanganza makato yameendelea kuwepo mwezi huu,hakuna Cha deni kupungua,hakuna taarifa yeyote,tunajiuliza kwanini viongoz watuongopee.

Ile 1% ya punguzo ya Kodi ya mshahara tuliyoahidiwa nalo ni changa la macho.
 
Kuna issue moja nilisikia leo redio asubuhi kwenye power breakfast mdau alisema ofisi hazifanyi kazi kwa kaauli za majukwaani, hvyo chunguza kama hilo tamko alilisema jukwaani basi hawafany kazi kwa kauli hizi . mpk wapewe official letters
 
Rais hawezi kudanganya kwenye hilo

her words ni directives
 
Unamuamini huyo wa KUDEMKA Mkuu!?
Rais Samia alitangaza value retention fee kwa wanafaika Heslb inafutwa, tamko la Serikali kupitia Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia alitangaza inafuta vrf,inafuta makato ya waliochelewa kulipa deni kuanzia mwezi July 2021.

Cha kushanganza makato yameendelea kuwepo mwezi huu,hakuna Cha deni kupungua,hakuna taarifa yeyote,tunajiuliza kwanini viongoz watuongopee.

Ile 1% ya punguzo ya Kodi ya mshahara tuliyoahidiwa nalo ni changa la macho.
 
Kuna issue moja nilisikia leo redio asubuhi kwenye power breakfast mdau alisema ofisi hazifanyi kazi kwa kaauli za majukwaani, hvyo chunguza kama hilo tamko alilisema jukwaani basi hawafany kazi kwa kauli hizi . mpk wapewe official letters
Ila sio Magufuli hata akitoa maelezo akiwa chooni yalifatwa
 
Wenzako wameondolewa, sasa wewe badala uende ofisi za HESLB ujue imekuwaje unakuja humuJF kupiga domo la kisiasa utafikiri ofisi zao ziko humu.

Humu utaungana na wapiga domo wa siasa mtapiga domo, mtatukana halafu utakula utalala, halafu utaendelea kukatwa na maisha yako yatabaki vile vile.

Hizo degree siku hizi wanawapa mamburula tu.
 
hii so kauli ya kisomi hauwezi kudharau elimu za watu
 
Ila sio Magufuli hata akitoa maelezo akiwa chooni yalifatwa

Aaaah wapi, labda maelekezo ya kupiga na kuteka wapinzani. Propaganda zilikuwa zinaonyesha asemayo yanatekelezwa, lakini yale hasi dhidi ya wananchi ndio yalitekelezwa, sio ya wananchi kupata haki.
 
Back
Top Bottom