Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka vizuri, tukiwa mwanzoni kabisa mwa kukabiliana na changamoto ya COVID-19 mwaka uliopita, ni Serikali hii hii iliamuru level seat kwa daladala zote zinazofanya kazi...
0 Reactions
5 Replies
917 Views
Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
1 Reactions
0 Replies
811 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema kuanzia sasa siyo hiari kuvaa barakoa bali ni lazima kwa watu wanaotumia usafiri wa umma au wanaokwenda au kuingia katika vituo vya mabasi...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai. Mbowe...
42 Reactions
131 Replies
7K Views
WAFUASI na WANACHAMA ..POLISI WANAFANYA KAZI NZURI Kuna tofauti kati ya wafuasi na wanachama. Bwana Yesu alikuwa na wafuasi (disciples). Kanisa lina wanachama (members) na wafuasi wachache...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni mnyenyekevu Msomi Hajikwezi Mchapakazi. Anayebisha asikilize kipindi cha dk.45 ITV na radio one leo hii.
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ndugu Gerad Kabuye ambaye Pia hutumia jina la Samuel na a.k.a Namba 3 si Raia wa Tanzania kwa 100% kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika toka kwa ukoo wake kule Kenya...
10 Reactions
115 Replies
17K Views
Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Sidhani kuwa kuna wakati wowote ambapo chama kiliwahi kukuhitaji kama ilivyo kwa wakati huu. Pengine utakuwa na sababu zako maalum zilizokufanya uwe mwanachama wa chama hicho, lakini hata kama...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo 1. Wahusika waliomshambulia Lissu 2. Nani alimuua Alphonce Mawazo 3. Nani aliyempoteza Ben Saanane 4. Yuko wapi Azory Gwanda 5. Kuna taarifa za...
23 Reactions
24 Replies
2K Views
ZUNGU HAJUI MITANDAO YA SIMU, NDIO FARAJA PEKEE WALIOBAKI NAYO VIJANA WA TANZANIA?? Na, Robert Heriel Vijana wengi walikuwa na ndoto kubwa kwenye maisha, wapo waliokuwa na ndoto ya kuwa kupata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community. Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa...
6 Reactions
93 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau nawasalimu, Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake. Naamini wao binafsi wanaujua ukweli...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari...
80 Reactions
507 Replies
87K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…