Rais Samia, usikubali hasira dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli zihamishiwe kwako!

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema ambacho umekifanya sasa.

Juzi niliongelea nyongeza ya mishahara na kweli imeongezwa pungufu ya elfu tatu. Hili ni umivu kubwa kwa wafanyakazi. Kuna mengi umeacha yafanyike hovyo hovyo kwa vile yalianzishwa na JPM na wewe umeshindwa kuyatupilia mbali.

Huwezi kufanya ya JPM na wewe ukafanya ya kukupa chati wewe binafsi ili kujiimarisha kwa siku za usoni! Utakwama tu!

Kwa sasa wananchi wote wanaanza kukusema vibaya - na kwako wewe itakuwa mbaya Zaidi kwa sababu watu wanakuwa wamechokea kwako! Walifikiri wamepata relief lakini kumbe mambo ni hovyo tu - hebu achana na UJPM wewe ni Samia. Usiwe JPM ndani ya Samia.

Hasira zinazojengeka kwa jamii yetu ni kubwa na mbaya zaidi na itakuwa ni kuliko wakati wa JPM. Tafadhali chukua hatua - jisimamie wewe achana na UJPM ndani mwako!
 
Kwa sababu Ben Saa Nane, Azory na hata Tundu Lisu n.k hawakuwa ndugu zako na kwa sababu babay yako ndiye aliyempa jogooo JPM huwezi kuwa hasira naye!
Hao uliowataja JPM anahusikaje? Mmelishwa uongo wa kisiasa na nyie mkawa vichwa ng'ombe mnaamini tu! Haya sasa aminini pia kwamba mwenyekiti wenu ni gaidi na ameua watu wengi na viongozi wa serikali!
 
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo ynavyoenda kwa kweli hamna chema ambacho umekifanya sasa.

Juzi niliongelea nyongeza ya mishahara na kweli imeongezwa pungufu ya elfu tatu. Hili ni umivu kubwa kwa wafanyakazi. Kuna mengi umeacha yafanyike hovyo hovyo kwa vile yalianzishwa na JPM na wewe umeshindwa kuyatupilia mbali.

Huwezi kufanya ya JPM na wewe ukafanya ya kukupa chati wewe binafsi ili kujiimarisha kwa siku za usoni! Utakwama tu!

Kwa sasa wananchi wote wanaanza kukusema vibaya - na kwako wewe itakuwa mbaya Zaidi kwa sababu watu wanakuwa wamechokea kwako! Walifikiri wamepata relief lakini kumbe mambo ni hovyo tu - hebu achana na UJPM wewe ni Samia. Usiwe JPM ndani ya Samia.

Hasira zinazojengeka kwa jamii yetu ni kubwa na mbaya zaidi na itakuwa ni kuliko wakati wa JPM. Tafadhali chukua hatua - jisimamie wewe achana na UJPM ndani mwako!
Huyu bibi kashapagawa na pepo Magu.
 
Kwa sababu Ben Saa Nane, Azory na hata Tundu Lisu n.k hawakuwa ndugu zako na kwa sababu babay yako ndiye aliyempa jogooo JPM huwezi kuwa hasira naye!

Hao wana mahusiano gani na JPM. Are you serious. Tumia akili Basi hata ya . Kama unamwita mtu Diktator. Je huyu Lissu nzima au. Je mbowe. Je Zitto. Au we unaelewaje Kuhusu dictator tena awe wa kiafrika. Acha Hadithi zako za kujitungia na kujijibu. Ben saa nane Ni Nani na alifanya Nini kumfanye JPM adeal naye Personally. Azory naye Ni Nani. Si yule alieyepotea wakati wa mauaji ya Kibiti ambako humu mlikuwa mnashangilia. Unaposhutumu Rais. Mwenye madaraka na vyombo vya jeshi. Makomandoo nk. Usilete ujinga huo. Huwezi moja kujificha. Na Mbili huwezi hata kupata muda wa kusema natishiwa. Why wakutishie. Si utasema. So Kama kasema. Ujue mtafute wa kumwuuliza mana Ni staged kwa manufaa ya watu fulani. So start searching.
 
Nikiona mtu anaanza kusema "usilete ujinga" badala ya kuja na hoja za mashiko basi huwa ninaona nabishana na mtu asiyeelewa!
 
Uchaguzi umeisha siasa hakuna haiwezekani unajenga uchumi then jitu linaanza kuzunguka nchi nzima na kupiga propaganda tu
 
Hao wana mahusiano gani na JPM. Are you serious. Tumia akili Basi hata ya . Kama unamwita mtu Diktator. Je huyu Lissu nzima au. Je mbowe. Je Zitto. Au we unaelewaje Kuhusu dictator tena awe wa kiafrika. Acha Hadithi zako za kujitungia na kujijibu. Ben saa nane Ni Nani na alifanya Nini kumfanye JPM adeal naye Personally. Azory naye Ni Nani. Si yule alieyepotea wakati wa mauaji ya Kibiti ambako humu mlikuwa mnashangilia. Unaposhutumu Rais. Mwenye madaraka na vyombo vya jeshi. Makomandoo nk. Usilete ujinga huo. Huwezi moja kujificha. Na Mbili huwezi hata kupata muda wa kusema natishiwa. Why wakutishie. Si utasema. So Kama kasema. Ujue mtafute wa kumwuuliza mana Ni staged kwa manufaa ya watu fulani. So start searching.
Kuishi kwa kutegemea posho za kijani ni shida sana. Ipo siku ya kuvuna hii mbegu na mavuno hayataangalia wewe rangi gani hatuwezi kuwa taifa la ajabu ajabu kwasababu ya waganga njaa wachache waliokosa utu na kujivika majukumu ya kuamua hatima ya taifa hili.
 
Back
Top Bottom