John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu

pambalu.jpg
 
Kama utavunja sheria au katazo la serikali ina maana ww unapanga kupambana na serikali na serikali nayo utaikuta imejiandaa kupambana na wahalifu wote kwahiyo jipange sawa swa kama alivyoimba rose muhando
Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu

Ujumbe umejaa amani, Busara na maarifa kuliko yule wa Bro, Sirro nani anakuandikia press conference zako Bro ? Press conference kama tunaenda vitani na mipasho juu.
 
Kusikiliza kesi sio kuvunja Sheria.
Sirro ndio atavunja Sheria
Hapana ndugu yangu ujue pale mahakamani huwezi kuruhusu watu wotee wajae pale.itakua fujo sasa maana we unadhani pale wanachama wote wa chadema.wajae pale.itakuaje?
 
WEWE UNAAMBIWA NA SERIKALI USIENDE WEWE UNAENDA INA MAANA UMEDHARAU MAMLAKA UTAPIGWA TUUUUU
 
"...na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba..."
Kwa hiyo hawaendi mahakamani kusikiliza kesi bali kwenda kudai katiba!? Sasa hakimu ndiye anamiliki katiba mpaka waidai huko kiasi cha kuwa radhi kuvunjwa miguu!?
 
Hapana ndugu yangu ujue pale mahakamani huwezi kuruhusu watu wotee wajae pale.itakua fujo sasa maana we unadhani pale wanachama wote wa chadema.wajae pale.itakuaje?
WEWE UNAAMBIWA NA SERIKALI USIENDE WEWE UNAENDA INA MAANA UMEDHARAU MAMLAKA UTAPIGWA TUUUUU
Tatizo lenu ni kufikiria Mbowe ni mwenyekiti wa kuku na si binaadamu (watu) wenye akili. Hakika ni kuwa Ccm haiwezi kuiamulia Cdm nini cha kufanya na wakati gani .

Sirro yeye aweke amani. Alinde amani.
 
Mikusanyiko kwa kipindi hiki ni hatari sana ni bora utaratibu ukabadilishwa kwa muda hasa kwa wakati huu " Mahakama zisiruhusu watu zaidi ya 30' SEREKALI YETU KWA UPENDO MKUU ITALIONA SUALA HILI
 
Ujumbe umejaa amani, Busara na maarifa kuliko yule wa Bro, Sirro nani anakuandikia press conference zako Bro ? Press conference kama tunaenda vitani na mipasho juu.
Sirro amekuwa Zirro.
 
Back
Top Bottom