Elin Martinez: Interesting to see Minister Ndalichako of Tanzania at the plenary at Global Education Summit 2021

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,110
2,000
Jamaa wanatushangaa sana mwaka huu kuliko mwaka jana na juzi, na wanatunza kumbukumbu sana. Wanashangaa na kujiuliza where do we stand. Inaonekana Mh. Ndalichako kwa msimamo wetu hakupaswa kuwa pale.Elin Martínez is a Senior Researcher in the Children’s Rights Division of Human Rights Watch, where she focuses on the right to education.

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,110
2,000
Tofauti ya Ndalichako na Dorothy Gwajima siioni .

Miaka hii miwili Tanzania imegeuza dishi kimaajabu sana
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,359
2,000
Tofauti ya Ndalichako na Dorothy Gwajima siioni .

Miaka hii miwili Tanzania imegeuza dishi kimaajabu sana
2864162_1627680795167.png
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,342
2,000
When did Tanzania start denying girls access to public education?! Kweli kuna watu hawalitakii mema taifa hili.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,342
2,000
Wee ulikuwa wapi mkuu? Nchi hii kweli?
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?
 
Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,110
2,000
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?

Unazungumzia kina nani, au hawa waliotupa chanjo tukaipokea huku tukiwaita mabeberu?
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,342
2,000
Unazungumzia kina nani, au hawa waliotupa chanjo tukaipokea huku tukiwaita mabeberu?
Swali langu ni kama hatuna wasichana wanaosoma kwenye shule za serikali. Au hiyo kauli hapo chini wewe umeielewa vipi!

"Also, one of GPE countries that openly deny girls access to public edu"
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,238
2,000
Samia alisema anatufungulia dunia, ila huku ndani anatufunga kwa kutubambikia kesi za uongo.
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,507
2,000
Don't we have girls in public education institutions?! Unakubaliana na hao waliotaka Tanzania ionekane machoni pa dunia kama Afghanstan ilivyokuwa chini ya Taliban?

Ni kweli kwamba wasichana waliopata mimba za utotoni walizuiwa kurudi shule kusoma?

Unayajua mazingira ya vijijin jinsi yalivyo na risk za watoto wa kike?

Inawezekana umekulia sehemu ambazo hamna shida ya kufika shuleni au hujui changamoto za watoto wa kike au wakati policy inapitishwa mtoto akipata mimba public schools harusiwi kuingia!

Ni hayo tu,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom