Hakika hata Magufuli hakuutendea hivi upinzani, Kama Mbowe anapewa kesi ya ugaidi itakuwaje kwa raia wa kawaida?

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Better were colonial days ndivyo navyoweza kusema. Wakati wa mateso ya kusulubiwa kwake Yesu Kristo alitamka maneno yenye tafakuri kubwa sana "KAMA WANAUTENDEA HIVI MTI MBICHI ITAKUWAJE KWA MTI MKAVU?" maneno haya yamebemba ujumbe mkubwa sana. Tangu utawala wa dola la Roma la kale mpaka wakati wa milki ya Brazantine watawala waliamini hawatakuja kuachia kiti cha utawala. Kama vile mtoto mdogo anavyoliacha ziwa la mama yake na kuanza maisha mapya ya kujilisha ndiyo hivyohivyo wakati ulifika wa mifumo mipya ya kidunia iliingia na falme zenye nguvu zilianguka. CCM wanaamini wao ndiyo wenye mamlaka ya kutawala nchi hii na yoyote anayejaribu kuwapinga atasakamwa ama mpaka kuuawa. Freeman Mbowe amejikuta katika matatizo kwa kile kinachotafsiriwa amejaribu kuwapokonya watawala tonge mdomoni. Mbowe amefitiniwa je ni wangapi miongoni wa wasio na sauti WANAFITINIWA?
 
Hakuna justification yoyote kuhusu hili mbona watu walipotea hadi leo hawajulikani walipo kipi bora kuitwa gaidi au watu kupotea jumla bila kujulikana kama wako hai au wamekufa??
 
Makamanda mmeanza taratibu kumkumbuka na kumsifu Magu
 
Hakuna justification yoyote kuhusu hili mbona watu walipotea hadi leo hawajulikani walipo kipi bora kuitwa gaidi au watu kupotea jumla bila kujulikana kama wako hai au wamekufa??
Subiri arudi Rwanda, tutaanza kuokota watu kwenye sandarusi kule Coco Beach
 
Kuna kipindi chadema wakiongozwa na mbowe na lisso walisema Tz kuna vita, sasa ni muda wa kupewa hiyo vita mliyokuwa mnahitaji
 
Chadema na upinzani kwa ujumla hamueleweki, hamna msimamo nyie ni kubadilika badilika kutokana na mazingira ila bado dawa sahihi hamjaipata
 
Yaani Bora Bora mwanaume akiwa na roho mbaya uwa na chembe ya huruma kuliki mwanamke akiwa na roho mbaya ni hatari sana hawa viumbe wakiwa na roho mbaya huyu mama ni zaidi ya shetani
 
Better were colonial days ndivyo navyoweza kusema. Wakati wa mateso ya kusulubiwa kwake Yesu Kristo alitamka maneno yenye tafakuri kubwa sana "KAMA WANAUTENDEA HIVI MTI MBICHI ITAKUWAJE KWA MTI MKAVU?" maneno haya yamebemba ujumbe mkubwa sana. Tangu utawala wa dola la Roma la kale mpaka wakati wa milki ya Brazantine watawala waliamini hawatakuja kuachia kiti cha utawala. Kama vile mtoto mdogo anavyoliacha ziwa la mama yake na kuanza maisha mapya ya kujilisha ndiyo hivyohivyo wakati ulifika wa mifumo mipya ya kidunia iliingia na falme zenye nguvu zilianguka. CCM wanaamini wao ndiyo wenye mamlaka ya kutawala nchi hii na yoyote anayejaribu kuwapinga atasakamwa ama mpaka kuuawa. Freeman Mbowe amejikuta katika matatizo kwa kile kinachotafsiriwa amejaribu kuwapokonya watawala tonge mdomoni. Mbowe amefitiniwa je ni wangapi miongoni wa wasio na sauti WANAFITINIWA?
Samia na magufuli wote wahujumu furaha za watanzania
 
Huwezi kuwa kiongozi mzuri kama kuimarishwa, waulize wazee wa TANU jinsi walivyosulibiwa na mkoloni,
 
Back
Top Bottom