Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
7,852
2,000
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.
 
sincerely

JF-Expert Member
Nov 5, 2020
297
1,000

Itapendeza kama viongozi weti nao watakua makini kufanya maamuzi yenye kuweka usawa kwa wananhi paipo kubagua itikadi zao za siasa, ukanda, ukabila na hata udini

Hii ndio kitu pekee itakayowapa wananchi motisha ya kuwa wazalendo kwenye kuitetea nchi yao

Mbali na hapo, umoja wa kitaifa hakuna na nchi itabaki na vidonda, makovu ya uonevu na ubaguzi pamoja na chuki ambayo itazaa tunda baya sana kwa vizazi vyetu
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,848

Tumia common sense.
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
970

Sasa kama taifa halina dini inakuwaje dini iwe kigezo cha kuchagua baraza la mawaziri? Ni vigumu kumshawishi mtu mwenye akili timamu kwamba idadi ndogo ya mawaziri wa kiislam ilitokea kwa bahati mbaya. Namba huwa haziongopi.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,848
2,000
Wewe unaeyumia common sense mpaka sasa umeshindwa hata kuona namna ambavyo taifa limegawanyika na nguvu kubwa inahitajika kurudisha umoja wa kitaifa right before anything
Yumia? Tuliza akili upost mambo ya msingi.
 
Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
28,497
2,000
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.

Ni afadhali waislamu hawakuchaguliwa kwani hii ni serikali ya Ujambazi iliyomwaga damu za binaadamu ili kujiweka madarakani , na vitu hivyo ni Haramu katika Uislamu na Ukristo pia.

Sasa hawa waliojikubalisha kujiingiza na kuingizwa humo waache tu wajikusanyie madhambi . Nchi katika hali hii iko katika laana na kila kitu kinakwenda songo mbingo.

Hao wote ni waasi tu kwa Mungu na binaadamu wenzao
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,416
2,000
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.
In Summary iko hivi:

Mawaziri wanawake 4 sawa na 17%, Wanaume 83% ( a good lesson to Ndugai's rants about Chadema gender biasness)......

Waislam ni 3 sawa na 13%, Wengine 87% (na assume waliobaki wote ni Wakristu)

Zaidi ya 50% wanatoka kanda ya ziwa

Hii ni just highlight ya hali ya Baraza ilivyo na wala siyo watu wanalisema vibaya maana hamna cha uongo wanachokisema. Labda kama haupendi Maths & Statistics

Sisi tunaliombea badaza li-delivery kadri ya matamanio ya mteuaji na chama tawala
 
Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
28,497
2,000
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.

Msikilize Makonda hapa 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,801

Unatetea hiki kilichofanyika afisa kipeuo ? Bila hata aibu ? Lumumba ni ma empty head kwelikweli .
 
Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
1,942
2,000
Itapendeza kama viongozi weti nao watakua makini kufanya maamuzi yenye kuweka usawa kwa wananhi paipo kubagua itikadi zao za siasa, ukanda, ukabila na hata udini

Hii ndio kitu pekee itakayowapa wananchi motisha ya kuwa wazalendo kwenye kuitetea nchi yao

Mbali na hapo, umoja wa kitaifa hakuna na nchi itabaki na vidonda, makovu ya uonevu na ubaguzi pamoja na chuki ambayo itazaa tunda baya sana kwa vizazi vyetu
Nina uhakika wewe sio mtanzania. Kwa sababu uzushi unao utoa hapa ni kitu ambacho hakuna anayekuelewa.
 
mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
1,074
2,000
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.
Ubaguzi wa waziwaz kabsaa ni wa itikadi ya uvyama. Huu ni sumu inayosambaa kwa Kasi na huko tuendako Ubaguzi tajwa udini na ukabila vitakua chamtoto. Munapongelea ubaguzi kuweni makini na ubaguzi wa vyama.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom