Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,174
4,062
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu.

Waliokamatwa ni Pamoja na

-Joseph Mbilinyi (Sugu)

-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)

-Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
 
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa @ ChademaTz zaidi ya 30 usiku huu.

Kisa nini?wamehutubia kabla ya PM?
 
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa @ ChademaTz zaidi ya 30 usiku huu.

Waliokamatwa ni Pamoja na

-Joseph Mbilinyi (Sugu)

-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)

-Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
BREAKING_NEWS.%0A%0APolisi_Mkoani_Mbeya_Mbeya_Wamevamia_Mahafari_Ya_Chaso_Mkoa_Wa_Mbeya_Iliyok...jpg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom