CHADEMA ikishika madaraka, ina watu makini wa kuunda Serikali?

Bob Malik

Senior Member
Oct 1, 2019
121
404
Hivi ikitokea (Sidhani kama itatokea) CHADEMA wakashika nchi, hivi safu ya mawaziri na viongozi itatoa wapi?

Maana kwa navyoona, asilimia 70% ya WanaChadema nao najua mimi ni wavuta bangi, wakorofi, watukanaji, mfano mzuri ni huyu kijana anayeitwa Mdude.

Wazee wa chama wengi ni walevi, watu wazima ila hawajaoa, wengi wanaishi kisela sela tu.

Mara wakimbie nje ya nchi, wakitaka kukamatwa, mara washabikie mtanzania kuingizwa katika tuzo kubwa.

Hebu kwa wajuvi wa mambo kama ndugu Mshana Jr nipangieni safu ya uongozi wa CHADEMA 2025 kama wanavyoaini watachukua nchi.

Kumbukeni Corona ipo na inaua, epuka mikusanyiko, kaa ndani, badilisha barakoa kila baada ya masaa manne, Chomwa chanjo kisha endelea kuchukua taadhali.
 
Si CHADEMA ilishakufa chini ya Mwendakuzimu sasa itashikaje madaraka ?
 
Kumbe ndo watu Staha ccm inapenda Kama wewe ,ongera umebarikiwa KWA staha
 
CCM wameharibu akili mpaka mnaanza kuamini unahitaji wanasiasa wengi kuongoza serikali.

Nafasi za kisiasa zinatakiwa kuwa chache tu, mawaziri na manaibu wao full stop

Wengine wote weka watendaji.

Tatizo CCM wanataka mpaka mtendaji wa kijiji awe mwana CCM
 
Hao ccm ambapo wako watu makini wanaounda Serikali wametufikisha wapi mpaka sasa kama taifa?!
Ndio kwanza ujinga, umasikini na maradhi vinazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu
 
Upumbavu ni kufikiri kwamba serikali inaundwa na wanachama

Hizi ni akili za kijinga sana na ndio zinadumaza maendeleo

Halafu watu tukitaka katiba mpya bado watu hawaelewi misingi ya katiba mpya!!

Nchi hii ina watu takataka kabisa
Nitamwambia mdogo wangu "Khumalo" awape semina ya kutoa "utupu vichwani" mwa wana UVCCM wanaolipwa kwa ajili ya utetezi mitandaoni. Vichwani ni watupu kuliko utupu wenyewe.
Mbona UVCCM ya miaka ya 2000 kurudi nyuma walikuwa na hoja japo kidogo!!???
 
Back
Top Bottom