Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,278
Kuna Taarifa Kwamba Samia Atakuwa na Safari ya Kikazi Nchini Rwanda Wiki Mbili Zijazo.

Itakumbukwa Kwamba Kagame Hakuwa na Mawasiliano Mazuri Na Rais Kikwete Wakati Wa Kipindi na Uongozi Wake.

Ikumbukwe Pia Kagame Hakuhudhuria Msiba Wa Marehemu Hayati Magufuli.

Je Tutegemee Maelewano Mazuri Ya Kidiplomasia Kati Ya Samia Na Kagame Kwa Awamu Hii Ya 6?

———
UPDATE: Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)
 
Mama katuombee makazi huko haraka maana huku Burundi tumekaribia kujaa.

Rwanda ndio ilitakiwa tuelekezwe tangu awali😎😎
images.jpg
 
Kwa utamaduni wetu mfiwa huwa anatembelewa na wageni.Sasa sisi tunatumia gharama kubwa kuwafuata ambao hawakufiwa.
Huko nje gharama za mwenyeji au zasisi wafiwa na tozo za simu
 
Kuna Taarifa Kwamba Samia Atakuwa na Safari ya Kikazi Nchini Rwanda Wiki Mbili Zijazo.

Itakumbukwa Kwamba Kagame Hakuwa na Mawasiliano Mazuri Na Rais Kikwete Wakati Wa Kipindi na Uongozi Wake.

Ikumbukwe Pia Kagame Hakuhudhuria Msiba Wa Marehemu Hayati Magufuli.

Je Tutegemee Maelewano Mazuri Ya Kidiplomasia Kati Ya Samia Na Kagame Kwa Awamu Hii Ya 6?
Tungoje sasa kuambiwa tuhamie Rwanda
 
Mwigulu angesema ambao hatutaki kulipa tozo tuhamie Rwanda sasa hivi ningekua niko Rusumo nagongesha mihuri
 
Ni hatari Kagame anawafunga wapinzani wake sio chini ya miaka kumi.
 
Kuna Taarifa Kwamba Samia Atakuwa na Safari ya Kikazi Nchini Rwanda Wiki Mbili Zijazo.

Itakumbukwa Kwamba Kagame Hakuwa na Mawasiliano Mazuri Na Rais Kikwete Wakati Wa Kipindi na Uongozi Wake.

Ikumbukwe Pia Kagame Hakuhudhuria Msiba Wa Marehemu Hayati Magufuli.

Je Tutegemee Maelewano Mazuri Ya Kidiplomasia Kati Ya Samia Na Kagame Kwa Awamu Hii Ya 6?
Hapo hatuna tumekuwa, hamna kitu
 
Kwa utamaduni wetu mfiwa huwa anatembelewa na wageni.Sasa sisi tunatumia gharama kubwa kuwafuata ambao hawakufiwa.
Huko nje gharama za mwenyeji au zasisi wafiwa na tozo za simu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka kwa sauti
 
Kuna Taarifa Kwamba Samia Atakuwa na Safari ya Kikazi Nchini Rwanda Wiki Mbili Zijazo.

Itakumbukwa Kwamba Kagame Hakuwa na Mawasiliano Mazuri Na Rais Kikwete Wakati Wa Kipindi na Uongozi Wake.

Ikumbukwe Pia Kagame Hakuhudhuria Msiba Wa Marehemu Hayati Magufuli.

Je Tutegemee Maelewano Mazuri Ya Kidiplomasia Kati Ya Samia Na Kagame Kwa Awamu Hii Ya 6?
Gentamycin
 
Back
Top Bottom