Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,954
12,409
Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.

Lakini pia hii itasaidia kuonesha support yao kwa mwenyekiti wao na wafuasi wao kwa ujumla. Mambo hayo ni
[1] Chama kichague viongozi mbali mbali ambao wataongoza maandamano hayo, wakiwepo katibu mkuu wa chama, manaibu katibu wakuu bara na visiwani, wabunge wote waliokuwa katika awamu iliyopita 2015 - 2020, viongozi wa chama kutoka katika mashina mbali mbali na wale wa kitaifa.. afu sasa baada ya hao kuwaongoza waandamanaji na kuwapa direction ndio sasa lije kundi la sisi wapambanaji wa magazetini na mitandaoni kama vile kina Dudumizi nk.

[2] Chama kitoe onyo la kuwafukuza uanachama viongozi na wanachama wote ambao watabainika kutoshiriki katika maandamano hayo. Maana kukosa kushiriki kwao itakuwa ni usaliti na unafiki mkubwa dhidi ya chama na mwenmwenyekiti wa chama kwa ujumla. Chama kisiwaonee aibu viongozi hawa ambao hupanga maandamano, na siku ikifika hawajitokezi maandamanoni badala yake wanakaa majumbani kwao na familia zao huku wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV zao.

Toka vyama vingi vianzushwe ni viongozi watatu tu ndo nishawahi kuwaona maandamanoni nao ni Augustine Mrema, Dr. Slaa na Prof Lipumba. Waliobakia huwa wanashinda kideoni kuangalia na kusikilizia matokeo ya maandamano walioyandaa wenyewe. Asanteni sana ndugu zangu nina imani mawazo yang yatafanyiwa kazi na uongozi wa chama haraka iwezekanavyo.. Pepoooooz Pawaaaaaa.

Nawasilisha.
 
Hivi kwa nini mwejekiti wao wa taifa, wamemsusa kwenye issue ya ugaidi ,au ndo kusema kwamba wameona bola Mr hai apambane na hali yake!! Au ni kuonyesha hata wao walikuwa wananyimwa Uhuru wa kuamua na kutishangazwa na mienendo ya Mr hai!?
 
Inasemekana jamaa amegeukwa na team yake mwenyew baada ya kuona chama na uongozi wake havina muelekeo. Kitendo cha jamaa kutaka awe mwenyekiti wa chama peke yake miaka yote kimewakasirisha wengi na mbinu walioona ni nyepesi kwao kumtoa pale kitini ni kupelekea taarifa ya matendo yake kwa vyombo husika ili vimshughulikie na wao wapumue kidogo
 
Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.

Lakini pia hii itasaidia kuonesha support yao kwa mwenyekiti wao na wafuasi wao kwa ujumla. Mambo hayo ni
[1] Chama kichague viongozi mbali mbali ambao wataongoza maandamano hayo, wakiwepo katibu mkuu wa chama, manaibu katibu wakuu bara na visiwani, wabunge wote waliokuwa katika awamu iliyopita 2015 - 2020, viongozi wa chama kutoka katika mashina mbali mbali na wale wa kitaifa.. afu sasa baada ya hao kuwaongoza waandamanaji na kuwapa direction ndio sasa lije kundi la sisi wapambanaji wa magazetini na mitandaoni kama vile kina Dudumizi nk.

[2] Chama kitoe onyo la kuwafukuza uanachama viongozi na wanachama wote ambao watabainika kutoshiriki katika maandamano hayo. Maana kukosa kushiriki kwao itakuwa ni usaliti na unafiki mkubwa dhidi ya chama na mwenmwenyekiti wa chama kwa ujumla. Chama kisiwaonee aibu viongozi hawa ambao hupanga maandamano, na siku ikifika hawajitokezi maandamanoni badala yake wanakaa majumbani kwao na familia zao huku wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV zao.

Toka vyama vingi vianzushwe ni viongozi watatu tu ndo nishawahi kuwaona maandamanoni nao ni Augustine Mrema, Dr. Slaa na Prof Lipumba. Waliobakia huwa wanashinda kideoni kuangalia na kusikilizia matokeo ya maandamano walioyandaa wenyewe. Asanteni sana ndugu zangu nina imani mawazo yang yatafanyiwa kazi na uongozi wa chama haraka iwezekanavyo.. Pepoooooz Pawaaaaaa.

Nawasilisha.
Nhatupokei ushauri toka kwa ibilisi.
 
ndugu wazo zurisanaaaaaaa lakini utaambiwa umetumwa watumie mbinu hii watafaulu
 
Mbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba mpya na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.
 
Mbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.
kweli kabisa mkuu yaani hapo ndiyo watajulikana na wale waandamanao kwa kupitia mitandao tu
 
Ndomaana yake mkuu, ngoja tuone huenda katibu mkuu ataufanyia kazi ushauri huu kina prof J waingie barabarani
 
Inasemekana jamaa amegeukwa na team yake mwenyew baada ya kuona chama na uongozi wake havina muelekeo. Kitendo cha jamaa kutaka awe mwenyekiti wa chama peke yake miaka yote kimewakasirisha wengi na mbinu walioona ni nyepesi kwao kumtoa pale kitini ni kupelekea taarifa ya matendo yake kwa vyombo husika ili vimshughulikie na wao wapumue kidogo

I smell papuchi is that you Dudumizi.

Lunatic
 
Back
Top Bottom