Kauli ya Mbowe siyo gaidi kwenye mawe, kuta na majengo inatufundisha nini?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa, walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia.

Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.

Swali, kwanini tumechagua njia hii ya utawala?
 
Tumechagua njia hii kutokana na kutojiamini. Mbowe na chama chake ni Tishio kwa uhai wa ccm na watawala. Wote wanajua nguvu ya chadema. Wanajua haina hata mbunge mmoja lakini Wakiachiwa hawa ni dakika moja tu nchi inabadilika.
 
Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa,walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.

Swali, kwanini tumechagua njia hii ya utawala?
Hamna chema wala kizuri mbele ya Chadema. Kabila lenye kulaumu na kulalamika.Midomo juu sio kwa Kikwete wala Magu hata SSH ni bivyo hivyo.

Kaeni kimya mnachosha.
 
Hata vyooni,madarasani,kwenye usafiri,mabar, ujumbe uandikwe na zitungwe nyimbo,Jirani anayeshabikia Gaidi asusiwe kila kitu.
Bi MKOLA kachemka
 
Mawe yasikutishe sana, yangekuwa yana uzito leo hii Mwigulu angekuwa rais
download (1).jpg
download (2).jpg
download.jpg
 
Tuliambiana hapa mkasema hapana ili kudai katiba inabidi itumike lugha ya matusi na vitisho.

Now wao wameamua kutumia vitendo vya kutisha.
 
Polisi watatumwa kwenda kung'olea mbali hayo mabati na hayo mawe..na ikiwezekana hizo kuta watazibomoa..
Ndio tulipofikia hapo kwa sasa..
Watawala hamnazo kabisa hawa.
Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa,walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.

Swali, kwanini tumechagua njia hii ya utawala?
 
Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa,walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.

Swali, kwanini tumechagua njia hii ya utawala?
Habari_za_asubuhi_wakuu?.jpg
Jiji_la_Mwanza_leo_limetapakaa_maeneno_kila_kona_kwenye_kuta_na_madaraja_yote,_Maneno_hayo_yan...jpg
 
bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.
Yeyote mwenye akili timmu ataliona hili! akitokea mtu akapata base akatangaza vita ya msituni , watafurika vijana. Mama anashauriwa vibaya, huyo aliyemshauri hili amemdanganya. tusifike huko, tusifike huko, tusifike huko
 
Hamna chema wala kizuri mbele ya Chadema. Kabila lenye kulaumu na kulalamika.Midomo juu sio kwa Kikwete wala Magu hata SSH ni bivyo hivyo.

Kaeni kimya mnachosha.
Tafakari kabla ya kuandika upupu
 
Back
Top Bottom