Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.

Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.

Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.

Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.

Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.

Nimegundua CCM haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.

Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?

Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?

Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?

Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?

Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?

Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?

Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?

Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.

Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?

Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?

Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.

Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?

Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.

Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.

Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years

Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.

Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kihuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria?

Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.

Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Rais aliyepo madarakani.

Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
 
Watu timamu walimuonya Mbowe nguvu ya CDM ipo kwa BAWACHA chini ya Halima Mdee.

Aachane na siasa za Lissu sakapoko tu yule keshakuwa comprimised.

Mbowe ashikwe Halima Mdee aendi andamana ubalozi wa marekani angewakusanya wapambe waende kuandamana huko huko walipomshika ata kama kuna virungu, kila siku wangekuwa wanaenda jela na mahakamani wangejazana.

Kwa kifupi wao sasa hivi ndio wangekuwa wanashawishi jamii Mbowe anaonewa (ata kama kweli ana makosa) kwa maana kila siku wangekuwa wanawachokoza polisi mpaka na wao watafutiwe kesi kujenga dhana ya upinzani unaonewa.

Mnyika kama ana akili timamu atafute suluhu na COVID19 wale ndio watu wanaoweza virungu na mhamasishaji mkuu ni Mdee akienda mbele wengi wanamfuata.

Waache ya wakute si wanataka kusikiliza couch potatoes keyboard warriors wa JF.
 
K
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Kulingana na mwenendo was siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.

Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.

Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.

Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.

Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.

Nimegundua Ccm haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.

Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?

Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?

Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?

Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?

Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?

Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?

Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?

Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.

Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?

Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?

Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.

Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?

Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.

Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.

Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years

Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.

Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kuhuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria? Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.

Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Marais aliyepo madarakani.

Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Kwani tumemuomba Mbowe atupiganie.
Nenda huko Mia ya mkate wanaandamaa ili uandamane nao mkuu
 
Tatizo ni sisi wenyewe watanzania mkuu

Tatizo lipo kwetu watu hawajui haki zao

Ufahamu upo chini

Kuna watu kama mimi hatuna chama cha siasa lakini tukiongelea siasa labda whatsapp status utasikia utatekwa wewe kaa kimya

We are so arrogant and coward ccm. Aendelee kutawala
I
Ona ishu ya mbowe no pressure kutoka kwa wananchi kabsa tumejawa na uwoga wivu, na ubinfsi
Sad for my country
 
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Kulingana na mwenendo was siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.

Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.

Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.

Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.

Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.

Nimegundua Ccm haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.

Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?

Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?

Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?

Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?

Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?

Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?

Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?

Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.

Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?

Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?

Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.

Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?

Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.

Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.

Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years

Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.

Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kuhuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria? Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.

Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Marais aliyepo madarakani.

Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Mwaka 1995 nilikimbia Tanzania baada ya kuwekwa jela wiki mbili na Mkuu wa wilaya kisa eti nimefanya maandamano saa mbili za usiku kijijini kwetu, Mwaka 1999 nilirudi Tanzania baada ya kukaa mwezi mmoja nilitafakari nikaona mambo bado ni yale yale na hakuna uwezekano wa mabadiliko yoyote nikaondoka tena , hadi leo hii niko ukimbizini.
 
Back
Top Bottom