Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,879
Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu.

Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu alikuwa akimtetea, akimpigania na hata Kutuhamasisha Watanzania tumpe nchi kutokea Upinzani 'Kamgeuka' huyo Mtu mpaka anaaza 'Kumdhalilisha' na kaahidi 'Kumdhalilisha' zaidi kwa kutoa 'Siri' zake kama akisikia atagombea tena Urais mwaka 2025.

Kama kuna Watu ambao nilitegemea wangekuwa 'that watchful' kuepuka 'Mtego' wa wao 'Kugombanishwa' ni hawa Wawili huku Mtu mwingine aliyekimbia Taasisi Nyeti (Muhimu) Tanzania ambaye pia hujifanya ni 'Swahiba' wa hawa Wawili ndiyo akitumika vyema katika 'Kuwafarakanisha' na tayari ameshafanikiwa 99.9% hivi.

Leo imenibidi niyakumbuke maneno aliyowahi kuyasema Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambayo nayanukuu kidogo.."vyama vingi vya Upinzani nchini Tanzania ni Vibovu Vibovu na visipobadilika na Kujipanga vyema CCM itaendelea Kuongoza hadi Kiama kije", alisema.

Na kama kuna Watu wapo ama 'State' au katika 'System' wamefanikisha hili la Kuwagombanisha (Kuwafarakanisha) hawa 'Magwiji' Wawili wa Kidemokrasia na Uanaharakati nchini na 'Mitandaoni' na huyo 'Mtu Kati' mwingine GENTAMYCINE nawapa Kongole (Pongezi) mno.

Na ikiwezekana waongezewe hata Mishahara kwani wameweza 'Kuwapigisha Shoti' Marafiki (Maswahiba) Wawili ambao tuliamini ni Watu wenye uwezo mkubwa wa Akili (Uwerevu) lakini sasa wanatuthibitishia kuwa na Wao ni wa 'hovyo hovyo' tu hivyo watuachie CCM yetu iendelee Kushika Dola na kutuletea Watanzania Maendeleo ya Kweli pamoja na Kutudumishia Amani yetu ambayo ndiyo Tunu ( Shani ) yetu Kimataifa tokea Uhuru wa Taifa hili (Nchi hii)
 
Badoo kuna watu wanatuchezea akili na ccm na haya mavyama, Muda unakaribia tutaitoa CCM KWA nguvu zetu na mikono yetu wenyewe na hawatoamini, Sisi hatuwezi kuwa wapiga vuvuzela wa viwatu viwili vitatu/vyama ambapo hatuijui vimetoka wapi na ajenda zao.

Sisi hatutaki mambo ya vyama haya na kama mwananchi mwenye nasemaaaa, Ipo siku tutafunga makaburi yao KWA pingu kutokana na haya yote
 
Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa ( Kugombanishwa ) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu.
aendeleo ya Kweli pamoja na Kutudumishia Amani yetu ambayo ndiyo Tunu ( Shani ) yetu Kimataifa tokea Uhuru wa Taifa hili ( Nchi hii )
MBOWE SIO BOSS, NI KIONGOZI.! CCM NDO KUNA BOSS!!!! sio lazma mtu awe mwanasiasa ndo aweze kuona tofauti, hata mtoto mdogo huna tofauti wapi kuna kiongozi na wapi kuna boss 🤣🤣
 
Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa ( Kugombanishwa ) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu.

Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu alikuwa akimtetea, akimpigania na hata Kutuhamasisha
Yupo dictator tuna muandaa 2025
Huyo atakuwa nyoko ni zaidi ya Magufuli ,
TANZANIA TUNATAKA RAISI DICTATOR
 
Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa ( Kugombanishwa ) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu.
Hujafa hujaumbika Yanayompata Bunadamu mwenzako hata wewe au ndugu yanaweza Kumpata Siasa ni mapito tumezikuta tutaziacha ila kwa Mungu Tutaulizwa tuliendesha Siasa gani? Usifurahi Mateso ya Mtu ukajiona upo salama kuna Mtu ametesa sana Wapinzani Leo yupo Wapi narudi kwako Mtoa Mada HUJAFA HUJAUMBIKA
 
Wewe umesahau yule kiongozi wao alivyokuwa "Mzena" walivyokuwa wanatapatapa, mara nimeongea nae asubuhi anawasalimia.

Anyways, ni kawaida; mkubwa akiondolewa kwenye field; foot soldiers lazima wafanye re-grouping. Sio process rahisi
 
Back
Top Bottom