Mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwira ulirudishwa Serikalini au bado ni wa Mkapa?

Peterson jr

Member
Jan 6, 2018
12
7
Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa?

Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond pale ubungo ambayo imebadilishwa jina sasa inaitwa DOWASI ni Mali ya serikali au bado ni ya mh LOWASA? napenda mnijuze watanzania wenzangu.

Vile vile napenda kuwauliza watanzania wenzangu, mbona wezi wa tegeta escrow wamekamatwa wawili2 rugemalila na set? Mbona wezi wengine hawakamatwi? Tena mbaya zaidi tumekatazwa kutaja majina je hii ni sawa?

Mwisho naomba mnijuze hili swala LA majadiliano ya makinikia limefikia wapi limezikwa? Au ilikua kiini macho. Hii nchi ya ajabu sana nashindwa nimwamini nani.
 
Na mimi naomba kuuliza hivi Mbowe hajulikani kuwa ni tapeli wa siasa?
Kakobe anaogopwa au vipii mbona amechafua amani ya nchi na bado hamna hatua stahiki zilizochukuliwa?
 
Sentence yako ya mwisho pigia mstari kisha bold,uongeze hivi "na raia wake ni vituko" uzi utakuwa tayari.
 
Ila limàgufool lilikuwa lingese sana ndio maana lilikufa kwa kusahau kumeza dawa zake
 
Kwasasa zaidi ya malori 300 kwa siku yanapeleka makaa ya mawe Kenya kupitia mpaka wa Tarakea Rombo. #kipindi cha mwendazake alizuia coz mkataba ulikua wa hovyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom