Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,356
2,000
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.

Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.

Mungu ibariki Chadema

Leo_nimeungana_na_wanachama_wa_Chadema_Mwanza_katika_Kanisa_La_KKKT_Makongoro,_kumuombea_Mh._F...jpg
Leo_tar._1.8.2021_nimeungana_na_wanachama_wa_Chadema_Mwanza_katika_Kanisa_La_KKKT_Makongoro,_k...jpg

 

magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,404
2,000
Mungu IBARIKI CHADEMA
Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu
Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Kamjulie hali yake Gaidi huko Segerea itakuwa na maana sana kuliko kubwabwaja hapa JF tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom