Mchungaji Msigwa: Rais Magufuli huenda kanisani kama muumini au Rais?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,004
2,000
Haya Hapa

@pmsigwa_ ( 640 X 640 ).jpg
 

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
2,352
2,000
Huyu bwana anatapatapa nazani anajua muda wake kunyakuliwa na corona u karibu,maana anatilia mashaka kila kitu kuanzia barakoa, furmigation, mpaka chanjona hisi kwa kuwa hana tena viumbe hai(wapinzani) wa kuwarushia lawama.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,879
2,000
Huo ndio mfano bora kabisa wa kuchanganya dini na siasa! Ila kwa kuwashutumu wengine; hawajambo! Katika Liturgy ya Kanisa Katoliki hakuna mahali popote pa "Rais kuzungmza/kuhubiri" wakati wa ibada tena Yesu akiwa mbele pale katika maumbo ya mkate na divai.
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,915
2,000
Hivi Uchungaji wa Msigwa huwa ni kisiasa au kikanisa?
Msigwa alikuwa muuza mitumba pale Miyomboni, alivyokuja Mrema ndio akawa anamuita kiutaniutani " mchungaji " na jina hilo likaenea

Kaka yake ndio Mchungaji na ana Kanisa la kilokole Mtwivila!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom