Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanafunzi zaidi ya 300 wa shule ya msingi Mwamala wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wanasomea chini ya miti. Wazazi wa wanafunzi hao wameamua kuchanga Tsh100,000 kila mmoja ili kujenga madarasa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Mkuu wa idara katika halmashauri zetu ni mtu mkubwa sana, yaani boss. Sasa anawezaje kufanya igizo na nesi? Inafikirisha sana yaani kama siyo uhujumu uchumi basi huu ni ugaidi.
0 Reactions
8 Replies
924 Views
Ndugu zangu, Siku zinaenda kasi,kuna kila dalili "wenye Chadema yao kuichukua" huenda Mbowe akabaki au akaondoka lakini "watakaochukua" chama hawatakuwa na hulka hizi za "kimagharibi".Watakuwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 65,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,600 ndani ya masaa 24 Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji kwenye...
12 Reactions
90 Replies
11K Views
Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika. Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye...
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya...
26 Reactions
69 Replies
7K Views
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na...
47 Reactions
315 Replies
29K Views
Wanajamvi, Nimeshangaa na Kushituka kusikia sauti ya Naibu waziri wizara ya Mifugo na uvuvi (MUV) Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Hamis Ulega akiongea mambo ya ajabu bila hata kuhofia...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Hakika dunia tunapita Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah...
34 Reactions
75 Replies
7K Views
HILI NDIO SEKESEKE LA BANDARI YA BAGAMOYO. MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shahidi wa sita, Bakari Msangi{38} katika kesi ya Unyang’anyi wa kutumia Sila inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili ameieleza mahakama kuwa askari wa upelelezi wa kituo kikuu cha polisi...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar. Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Tukio liko mubashara TBC. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. RIP Kwandikwa ====== Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza shughuli ya Kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi na JKT...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Mkoa wa Dar es salaam umewahi kuhudumiwa na Wakuu mbalimbali wa akiwamo Mheshimiwa Mustapha Songambele Mzee aliyejaaliwa hekima, busara, weledi, umakini na uadilifu mkubwa Je ni matamko gani ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania, au watu wengine huelewa kwa kuona kuliko kuambiwa. Mtu akiona kitu,kinalainisha moyo wake na anabadilika kimsimamo na kuelewa,kisha kutetea kwa nguvu alichokielewa. Ili wananchi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
URAIA PACHA SI WA KUCHAGUA, NI WA KUPEWA NA NCHI YA PILI KWA MASHARTI YAO. MARA NYINGI MASHARTI HAYO YANAKUTAKA UIKANE NCHI YAKO YA KUZALIWA, MATHAKANI UUKANE UTANZANIA WAKO. Kabla hujapewa uraia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom