CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,376
2,000
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .

Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .

Kiongozi_bora.jpg
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,376
2,000
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.

Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.

Why!??
Chadema inachukua tahadhali zote zinazoelekezwa na WHO
 
mapololo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
314
500
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .

Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .

View attachment 1876521
Shangazi Kesha wageuka huko, kawaanbia hawana adabu wanadharau mama mbona wakati wa Magu hawakuthubutu.
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,891
2,000
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.

Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.

Why!??
Watu wasije kwenye msiba kuepuka msongamano, halafu anahudhuria kongamano. Hilo konvamano ni la vyura?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom