Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Geoge Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania.
Ametoa agizo hilo...
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19...
Nimeona wengi wakifuatilia sana vita vya wana CCM kwa CCM na kuanza kuchukua upande.
Hizi drama tunazoona zilikuwepo zitakuwepo na zitaendelea kuwepo, huwa kuna kitu wanatafuta na CCM walivyo...
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama...
Karibu mikoa mingi ina mabango makubwa ya kumpongeza Mama Samia, sioni Kama ni jambo baya ila ubaya unakuja kwa kuwa mlisema hamna pesa za kujenga barabara vijijini, shule, zahanati n.k ndio maana...
Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kwa Watanzania kupitia Mkutano wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Jijini Zanzibar tarehe 8 Agosti 2021
UTANGULIZI
Ndugu Wajumbe wa...
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria...
Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti...
Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn...
Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake...
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye...
Lissu, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Asema Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga,
Vitu ambacho Kigogo hajasema:
👉1. ANC walihamisha Makao Makuu yake...
Leo hii, kwa kiasi kikubwa Watanzania wamekuwa mateka wa watawala.
Kuna uonevu mwingi wa watawala dhidi ya wananchi, bila ya kujali imani zao, maeneo yao, makabila yao na itikadi zao. Watawala...
umuhofia kwenyu
katika dhuruma zilizotokea kwenye jamii yetu ni huu uanzishwaji wa saccoss ambazo usimamizi wake ni wa ovyo sana. Baada ya Rais kikwete kuruhusu uanzishwaji wa saccos, watu...
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?
Ameenda mbali zaidi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.